ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
С Новым годом тебе тоже!!Teh teh..C novim godam bratan
Ты исчез вообще...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
С Новым годом тебе тоже!!Teh teh..C novim godam bratan
Ngoja nijaribu basi..Wewe ulivyo gaidi..Mtu atapigwa pesa na kulishwa bloku kila sehemu
Mbona una mvunja moyo Mzee Baba[emoji38] [emoji38]Hivi kwanini sisi Wanaume Tunapenda Penda Hovyo Watu Tusio Wajua? Wewe Limtu Hulijui Hujawahi Liona Wala Kulisikia Sauti Afu Unajikuta Tu Unalipenda Khaaaa! Utapenda Majini Mzee Baba.
Atarudi kuchungulia akikuta magumu atatokomea mitinikakimbia [emoji2][emoji2]
Nimeshajiona hapa nimefika kabisaMungu mkubwa huwezi jua ni wapi kakuandalia makao ya moyo wako
Huyo Mzigua90 utapata kilema cha kudumu. Mtuachie tu sieNdondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufuatilia post zake kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .
Najileta kwenu waungwana mninusuru kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahiri ni mtu mtemi asieshaurika, na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.
Nafwaa wajameni.
Sielewagi mwanaume kuogopa mwanamke wakati ndo wanatakiwa kutongoza.Naona anaogoapa kuja maana maelezo yake ni ya kiuoga
Tanguliza kwangu kwanza bby [emoji2][emoji2]Mpendwa unauhakika hii njia itatick nikutangulizie Advance payment kabisa
Sawa ikifika siku ya mchele kadi mhimu ili tupige kelele za uhakikaNimeshajiona hapa nimefika kabisa
Ndio anaogopa vyura huwa wanaishi sana kwenye majiUnagopa chura?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].Mahari ikiwa poa... utanisamehe... ntaichukua. Asipokuridhisha usijali babu yako nipo nitajua cha kufanya kumaliza kiu yako.
Nshakuwekea link hebu kachangamkie hiyo deal
Nitakutumia mpenz. Kwenye ile ya voda eeeh?Xyz ikithibitishwa unipunguzie, namba angu ile ile
Nmekua kama dalali hapa dalali wa mapenzi 😀
Ha ha ha njoo na hukuEvelyn Salt ni nani?
Unajua uoga huwa unajijenga kiimani zaidi yaani kabla huja mtongoza unajipa majibu ya kuwa hawezi kunikubalia na hapo usha jiwekea jibu moyoni kuwa hawezi kuwa wanguSielewagi mwanaume kuogopa mwanamke wakati ndo wanatakiwa kutongoza.
Jiheshimu na wewe kwa kutaka vya watu, huyo jamaa anaekupenda na kutaka tigo yako, ndiye mwenye huyo Mzigua90 mkuu.Jiheshimu mkuu
HahahahaaaMpendwa hii njia inatiki we nipe kabisa advance, atakaechomoa hii sijui nani mi mwenyewe sichomoki huu mtego.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Shemeji mwenyewe mara aseme anatetemeka asije kuwa Sabri tu
Kama vipi mgeuzie kibao, anaremba sana huyu..[emoji23] [emoji23]Sielewagi mwanaume kuogopa mwanamke wakati ndo wanatakiwa kutongoza.
Anataka akumwagiemwagie Na asikufikishe kileleni kisha akuacheHutaki shemeji kwani?