Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Wanajeshi hawana nidhamu ya hovyo kuongea ongea hovyo mitandaoniWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Sawa mkuuKamanda zingatia mafunzo yote ,tembea kwa ku crawl please.yaani zingatia maelekezo yote, kofia iwe kichwani si mnapewa na bullet proof , Ila hao 23M mbona wamekuwa gumzo ivyo pamoja na kuwepo na vikosi kibao bado tu hawasikii watoke huko, ama ni project ya UN or usa
Hamna mwanajeshi hapa mkuuπWanajeshi hawana nidhamu ya hovyo kuongea ongea hovyo mitandaoni
Sawa mkuuWanajeshi hawana nidhamu ya hovyo kuongea ongea hovyo mitandaoni
Easy mkuu, don't take it too serious!Usikejeli ivyo walinzi wa taifa lako mkuu. Hiyo kazi halipwi ivi unaweza ukamlipa mtu kwa kuutoa uhai wake ili tu wewe ulale na mkeo vizuri,Kuna mambo mengine sio ya kubeza. Mbona jamaa akatuaga vizuri raia wake amekosa nini
Sawa mkuuUsiogope wewe ni guner shooter uta was shoot tu !mkuu!
Bro futa ujumbe wako kwani ni siri za jeshiWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Pia mleta mada kafanya utani maana Kuna Uzi wake wa awali juu ya swala hilo hilo, sio afande huyo.Usikejeli ivyo walinzi wa taifa lako mkuu. Hiyo kazi halipwi ivi unaweza ukamlipa mtu kwa kuutoa uhai wake ili tu wewe ulale na mkeo vizuri,Kuna mambo mengine sio ya kubeza. Mbona jamaa akatuaga vizuri raia wake amekosa nini
Mkuu wa kikosi amemruhusu atangaze siku ya kuondoka?Chai
πππππJf forum bana ukute hata jkt hakupitia anatupanga tuπ€£π€£
Kumbuka hao anaoenda kupambana nao nawao wanamuomba Mungu huyo huyo awatetee.Mungu awatetee!
Mkuu au we unaonajeπ€£πππππ
Ungemalizia tu "... na wengine wanafia vitani"wengine wanafia kwenye maku, magonjwa, ajali, kuiba, wengine wanafumaniwa, wameenda kuiba