issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Na ww umeamini kabsa mwanetu yupo kwenye msafara?Dah kama wewe ni askari unapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hufai kwenye hiyo mission.
Unapochaguliwa kwenda kwenye mission fulani haipendezi kutanganza kila mahala maana adui pia yupo kila mahala.
Haya hao M23 wanajua sasa mnakwenda majina yawaendaji yametoka.
Vita sio lazima iwe front line tu, inaweza kuanzia huku huku mlipo.