Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Safi sana jengeni upendo katika BATALION YENU kimsingi pendaneni sana
 
BWANA Yesu ambaye Yeye ni BWANA wa Vita akutangulie huko uendako.Mkono wake uwe juu yako kukuepusha na kila risasi itayoelekezwa kwako.Nimekuombea hayo katika Jina la Yesu.
Kama unaamini sema Ameen.
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Protocols
 
Court Marshall inakuhusu. Tunakuombea urudi salama. Upate adhabu yako ya kuvujisha taarifa za kijeshi🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Usikejeli ivyo walinzi wa taifa lako mkuu. Hiyo kazi halipwi ivi unaweza ukamlipa mtu kwa kuutoa uhai wake ili tu wewe ulale na mkeo vizuri,Kuna mambo mengine sio ya kubeza. Mbona jamaa akatuaga vizuri raia wake amekosa nini
Wachen8 kukwepa majukumu hyo ndio kaz aliochagua kwani bwana nyuki walimu nk hazikuwepo wakati anataka watu wamchezee aingie huko si ndio hao wanapiga watu kwa vle wamepak vibaya hzo ni job categories apambanie huko halafu vita ikipigwa usilolijua wa kwanza ni ww kushika silaha wao wako makambini kwao rudi Libya kongo palestina nk
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mungu akulinde, urudi salama🙏🤲
 
Ungesema mapema tungeonana nikupe "code" moja nzuri sana kutoka Būbale Ntuzu. Yaani hata kombania yako yote ingekuwa ambushed na kuangamizwa wewe ungebaki.

Kwa sasa mtegemee Mungu. Sali kila siku. Soma Neno kila inapowezekana na stay positive. Kila la heri!
Duh
 
Kila la heri mkuu japo sijawahi kujua sisi tunapigana hiyo vita kwa maslahi ya nani? Au tunalipwa kulinda Mabeberu huko? Au tunafanya msaada wa kibinadamu tunawalinda majirani zetu wakongomani wanaoteswa na makundi ya kigaidi?

Mimi ni mwalimu kwa hiyo nashindwa kupata jibu muafaka kwa wanafunzi wangu kwa sababu mimi siwezi kudanganya mwanafunzi wangu hata siku moja!
 
Mkuu ungetupa maelekezo zaidi tukuombee kwa nani, ikiwa huamini uwepo wa Mungu wala shetani 👇🏻

Back
Top Bottom