Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mungu awatetee!
 
Hivi kwanini Vijana wamegoma kuacha bangi, hawajui mwishowe zinafanya mtu kua kichaa kabisa?
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Uchaguzi wa TAMISEMI
Haki za Raia
Ulinzi wa Raia....

Ulisimama upande upi?
Jibu ili tujue aina gani ya maombi unayostahili
 
Vita hubadilisha tabia,maisha ya mhusika ukirudi mtaani watu wanaweza kuona umekuwa chizi. Wengine watakuona umekuwa katili lakini kiukweli vita ina badilisha akili kabisa.

Ukishauwa huko huku nyumbani kuuwa mtu itakuwa rahisi sana tu, hii comment utaikumbuka ukirudi salama.

Nakutakia safari njema na kazi njema urudi nyumbani salama.
 
Yaani uombewe wakati unalipwa mshahara Kwa kazi hiyo? Tena Kuna posho Kwa akili ya kazi hiyo maalum...hebu kapambane huko acha kulialia
Usikejeli ivyo walinzi wa taifa lako mkuu. Hiyo kazi halipwi ivi unaweza ukamlipa mtu kwa kuutoa uhai wake ili tu wewe ulale na mkeo vizuri,Kuna mambo mengine sio ya kubeza. Mbona jamaa akatuaga vizuri raia wake amekosa nini
 
Vita hubadilisha tabia,maisha ya mhusika ukirudi mtaani watu wanaweza kuona umekuwa chizi. Wengine watakuona umekuwa katili lakini kiukweli vita ina badilisha akili kabisa.

Ukishauwa huko huku nyumbani kuuwa mtu itakuwa rahisi sana tu, hii comment utaikumbuka ukirudi salama.

Nakutakia safari njema na kazi njema urudi nyumbani salama.
Sawa mkuu
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kama operation ilikuwa ya siri sasa umeiweka hapa dhwahiri M23 wanaona punguzeni sifa kwenye mambo mazito ya usalama wako!
 
Ungesema mapema tungeonana nikupe "code" moja nzuri sana kutoka Būbale Ntuzu. Yaani hata kombania yako yote ingekuwa ambushed na kuangamizwa wewe ungebaki.

Kwa sasa mtegemee Mungu. Sali kila siku. Soma Neno kila inapowezekana na stay positive. Kila la heri!
Nope code mkuu ni serious ishu
 
Back
Top Bottom