Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Kamanda zingatia mafunzo yote ,tembea kwa ku crawl please.yaani zingatia maelekezo yote, kofia iwe kichwani si mnapewa na bullet proof , Ila hao 23M mbona wamekuwa gumzo ivyo pamoja na kuwepo na vikosi kibao bado tu hawasikii watoke huko, ama ni project ya UN or usa
M23 tuna sniper wakutosha hivyo mjipange kisawa sawa
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama

Hongera sana ,ukifanikiwa kurudi unakuwa milionea..Nakumbuka mwaka 1994 kuna jirani yetu alienda congo ,mwanzo alikuwa amechoka sana ila aliporudi kutoka Congo alipata pesa akajenga "SEFU KONTENA" ,kwa miaka hiyo ukiwa na "SEFU KONTENA" wewe tajiri.
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mkuu kila la kheri. Ila na bro wangu nimununuzi mzuri wa dhahabu hana njaa ukirudi ni pm usipo rudi tutaonana tu.hapa duniani tunapita
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kila la kheri kwenye majukumu Yako ya kulinda amani Congo Mungu akutangulie, weka nadhiri ukirudi salama ulinde katiba ya JMT. Nimeongea kikubwa
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
kila la heri mtaalamu. you're made for that. nakutakia kila heri. utarudi salama.
 
Unamuuliza maswali ambayo hayamuhusu kabisa ! Kazi ya JWTZ ni kulinda nchi na mipaka yake. Mambo ya usalama wa raia na mali zao ni kazi ya jeshi la polisi.
Naelewa ninachokiuliza mkuu

Au unadhani hata zile oparesheni za wanaovaa tisheti zinazofanania na nguo zao zinafanywa na polisi?
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Nenda ukashenyetwe🤣🤣🤣
 
Mkuu ungetupa maelekezo zaidi tukuombe kwa nani, ikiwa huamini uwepo wa Mungu wala shetani 👇🏻

Aisee umenisaidia kitu muhimu sana. Ningejua kuwa muhusika ni yule kafiri asiyeamini uwepo wa Mungu ningempotezea mapema! Anyway nasema akienda huko lolote limkute mtu asiyeamini Mungu sioni kama ana maana Wala thamani yoyote katika jamii ya watu waliostaarabika.
Sasa mtu haamini Mungu anataka tukamuombee kwenye mizimu ya Babu yake au alimaanisha nini sisi kumuombea?!
 
Yani muda wote huo kwa nini Serikali ya Congo isiongee na mamlaka hapa Tz wakapata vijana 10,000 wakaanza mafunzo ya miezi 6. Tukakubaliana bei vijana twende huko tukapate experience zaidi ya vita, maana hapa duniani utake usitake utakufa tu.
Dunia ya sasa si ya kukaa kabisa ni ya kuchangamkia kila Fursa sijui hawaioni hii.....
 
Katoa location, time na kapunguza Kwa kiasi kikubwa gharama Kwa maadui kupata taarifa nyeti hivi. Ilikuwa ngumu sana kupata taarifa hii. What kind of person are you
 
Back
Top Bottom