Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Tukuombee nini? We nenda tu
 
RDF au RPF?
Kama namuona role model wako PK akitoa maelekezo ya mwisho.
Safari hii mmekaza kidogo hadi mnawasumbua wakurya wetu!
Jitahidi sana uwe umeacha Wosia kwa Familia yako na hakikisha pia umewaambia ni wapi Wakuzike kwani nina uhakika hutorudi kwa Mtiti wa M23 uliochanganyika na RDF.
 
Huko hakuna kitu ndgu,kazi yako ni kulinda amani hasa upande wa raia.
Siku mmarekani akiamua au akitosheka na madina ya Congo ndo sku vta itaisha na m23 kurudi Rwanda
NENDA KALE BATA NDG
 
Nenda. Salama. Mkuu.
Nasikia M23 wanatafuna vinye*
 
RDF au RPF?
Kama namuona role model wako PK akitoa maelekezo ya mwisho.
Safari hii mmekaza kidogo hadi mnawasumbua wakurya wetu!
Rwanda Defense Force (RDF) ikiwakilisha Jeshi na Rwanda Patriotic Front (RPF) / FPR ni Chama Tawala cha Kisiasa huko.
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mzee baba... safari ulikwenda? uko salama?
 
Naomba namba ya simu ya mkeo incase of anything nipo tayari kumlea na watoto wako(kama wapo)
I'm serious!
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kila la kheri Urudi salama
 
Hatuna soja anayeaga mitandaoni kwenda mission.
Umeamua kujifurahisha tu.

Ujinga mzigo sana, acha Sifa, jeshi Lina miiko yake ambayo wewe tayari huijui.
 
Back
Top Bottom