To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
CongoArudi kwani anaenda wapi huyu mbugila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CongoArudi kwani anaenda wapi huyu mbugila?
Ukikimbia vitani, serikali yako inakunyonga..!!Urudi salama.Mungu akutangulie. Ila ukiona hali ni mbaya kimbia 😜
MumuMungu amtangulie ili iweje, aue watu wengine? Hao wengine hawana Mungu?
Tukuombee nini? We nenda tuWakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Jitahidi sana uwe umeacha Wosia kwa Familia yako na hakikisha pia umewaambia ni wapi Wakuzike kwani nina uhakika hutorudi kwa Mtiti wa M23 uliochanganyika na RDF.
Hakuna mjeda hapo. Halafu umkute sasa anavyotembeza kichapo kwa raia baada ya kuporwa changudoa wake huko baa ndo utashangaa!Hii chai,au kama kweli basi Kuna Kila dalili ya wewe kua muoga kupitiliza na unaviashiria vya uzembe ndani yako
Serikali inayo majibu.then tanzania ilipata faida gani baada ya kusaidia
Rwanda Defense Force (RDF) ikiwakilisha Jeshi na Rwanda Patriotic Front (RPF) / FPR ni Chama Tawala cha Kisiasa huko.RDF au RPF?
Kama namuona role model wako PK akitoa maelekezo ya mwisho.
Safari hii mmekaza kidogo hadi mnawasumbua wakurya wetu!
Aliyekuzaa (Mama yako Mzazi) anajua zaidi nenda Kamuulize tafadhali.Mkuu hebu nikumbushe unavyo jisifiaga pure talented charismatic....
Mzee baba... safari ulikwenda? uko salama?Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kila la kheri Urudi salamaWakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama