Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Nina ndugu yangu huko kila nikimpigia video call analia tu na kuniaga.Alienda kulinda amani.Ananiachia watoto wake et.Hebu wakae na M23 wasituulie ndugu zetu please. Namwombea kwa Mungu arudi salama maana muda wake umeisha
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mnawaondoa M23 nyumbani kwao ili waende wapi?
Waambieni viongozi wenu wakae na M23 ili wajadiliane nao kutafuta suluhisho la kudumu.
Halafu Tanzania ina masilahi gani huko ku-Zaireee
 
Kawapambanie ndugu zetu Wakongo, ondoa woga vaa ujasiri Mungu atawasaidia mtaikomboa Kongo, ikiwezekena kateni kichwa cha joka
 
Hakuna Cha zama wala Nini, mwanajeshi unapoingia mitandaoni na kujibainisha unaenda wapi tayari unampa adui pa kuanzia.
Ni ngumu kunielewa boss!
Ofcourse hakupaswa kusema, lakini wengi wanasema siku hizi, haimaanishi sio kweli.
 
Wameshazoea kupiga raia wasio na bunduki. Hawa watu ukikosea hata njia ukaingia kwenye eneo ambalo hawataki, utarukishwa kichura, kujaza mapipa kwa visoda n.k Hawana msamaha
Wamesikia kuna bunduki huko, ameishiwa nguvu. Mm hata siwezi kupoteza muda maana hufunga hadi mitaa kuchapa watu ovyo kisa kuna mwanajeshi mmoja amepigwa.
Miaka hiyo jkt 823kj msange ng'ong'ona uko ndani ndani ..
Kuna kamanda alikua mnaa sana Yan anatulusha sana vichula chula na kutuamsha sa nane usiku,
alivyopata lonja la kupelekwa afghanstan Kwa wataleban na kipindi Iko video zinasambaa sana jamaa wanakata sana vichwa wakikudaka,
mchizi alikologa sabuni za omo nyingi sana akabwia ili aharishe .
Vita sio poa.
 
Na wajeda sku hz wakidijitali kwenye combat 1×1 hanishindi huyu, ulichagua fani mwenyewe tukuombee nn ss? Go do your duties man
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
M23 pia wapo humu umekwisha na umetoa siri ya kambi!!
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Screenshot_20250202-110326.jpg
 
kwani hapa tunaongea kama serikali au kama jamii yenye uelewa ya yale yanayoendelea nchini Sakasaka Mao
Nyerere alisema... 'Vijana sina cha kuwapa ila ni ahsante'.

Tulizurulishwa sana nchi za kusini mwa Afrika pamwe kupoteza maisha, lakini sipendi kusema uongo kwamba nafahamu chochote kile ambacho Serikali ama nchi ilikipata kwa kuwakingia kifua kwa kupeleka misaada ya kibinadamu na kutuma wanajeshi.

Yaweza kuwa siasa za wakati ule zilifanya yale kwa kauli mbiu yake ya 'ujirani mwema' na 'Afrika ni moja', au yalikuwa ni madeal ya fedha ndefu.
 
Wait...tukuombee kwa nani sio wewe ulisema umegundua MUNGU na shetani hawapo
Labda amiri jeshi mkuu aondoe jina lake kwenye list, soldier gani anakuwa muoga hadi kuja kutafuta huruma mitandaoni.

Huyu alifaa ajulikane na atangulizwe mstari wa mbele kama chambo
 
Back
Top Bottom