Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

Mngejua msoto Serikali unaopitia kwasasa, wala msingeshadadia hizi Siasa za Maji taka zinazofanywa na CCM

Ili kuelewa hili, subirini Watumishi waanze kukopwa mishahara ndiyo mtajua madhara yake

Kwasasa Nchi haina fedha za utekelezaji wa miradi kama ilivyokuwa hapo awali

Hali ikiendelea hivi, yajayo sio mazuri kabisa
 
Mpaka mseme!

Siku nyingine kabla ya kufungua kesi mpite kwanza kwa wanasheria wenye akili wawashauri.

Mungu kawalaani mambo yamewaendelea ndivyo sivyo ikiwa CDM imefungiwa kufanya siasa, Heche alikuwa ndani, Lissu alikuwa ndani karibu miezi mitano.

Hili zigo mtalibeba tu siku moja.
 
Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe.

Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
Kimsingi makosa ya uchochezi mengi ni fimbo ya kuwachapia wapinzani na wanaharakati tu.

Kwa sababu wewe utakachokiita uchochezi, mwingine atakwambia hiyo nibsehemu ya demokrasia tu.

Na mara nyingine sheria haiko wazi kutofautisha mpaka wa mtu kutumia haki yake ya kidemokrasia na kufanya uchochezi uko wapi.

Yani hata wapigania Uhuru kama kina Nyerere na Mandela walipewa sana hizo kesi za uchochezi na libel walipokuwa wanapigania uhuru.
 
Mngejua msoto Serikali unaopitia kwasasa, wala msingeshadadia hizi Siasa za Maji taka zinazofanywa na CCM

Ili kuelewa hili, subirini Watumishi waanze kukopwa mishahara ndiyo mtajua madhara yake

Kwasasa Nchi haina fedha za utekelezaji wa miradi kama ilivyokuwa hapo awali

Hali ikiendelea hivi, yajayo sio mazuri kabisa
AJABU zanzibar wao wana pesa za MAENDELEO, Tanganyika tu ndio kuna shida ya PESA!
 
Mngejua msoto Serikali unaopitia kwasasa, wala msingeshadadia hizi Siasa za Maji taka zinazofanywa na CCM

Ili kuelewa hili, subirini Watumishi waanze kukopwa mishahara ndiyo mtajua madhara yake

Kwasasa Nchi haina fedha za utekelezaji wa miradi kama ilivyokuwa hapo awali

Hali ikiendelea hivi, yajayo sio mazuri kabisa
Dunia nzima inapitia msoto kwasabu ya vita ya Iran na Ukraine. Meli nyingi hazifiki bandarini kutokana na njia nyingi kuwa na hatari. Hilo kaka sio uzembe wa CCM wala ujanja wa chadema.

Hela zimeenda wapi, tunaJenga kwa fedha zetu wenyewe. Kama unaongelea fedha za wazungu acha hizo, hata wazungu hawana hela ya kutupa sisi sasa hivi. bora zisije kabisa tujifunze kujitegemea
 
Tatua matatizo ya watanzania sasa wananchi wana akili tena kuelekea 2030. Tunaweza kuja kuchapana tena ikawa zaidi ya October 29 nyie endeleeni na upumbavu wenu
ASkari wangi wataajiliwa kukabiliana na upumbavu wenu, ujinga wakati wa kwenda tu...
 
Mshaanza kuweweseka wenyewe kwa wenyewe. Kwa taarifa yako hata huo uchochezi wenyewe unao usema haupo.
 
Kama ulichocheka basi chokoneka ili uchokonolewe we ndezi.
Baada ya kuchochea kila mtu kila aliyechocheka alifanya jinsi alivyoelewa na alivyoweza kufanya.

Labda kama upo ushahidi kuwa alipanga na kuagiza kama mwenyekiti namna uasi, unukishaji na uzuiaji uchaguzi ulivyotakiwa kuwa na wakatekeleza sawasawa na maagizo aliyotoa kwa watekelezaji wa uasi.
 
Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe.

Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
Nyote wapuuzi tu na mamako, mnaundaje na kuendesha serikali dhaifu kiasi cha kupinduliwa na mtu mmoja bwana?.
Shame up on you.
 
Mpumbavu wewe, una akili za kichochezi. Badala ya kutaka wanasiasa waridhiane nchi itulie we unaona akamatwe tena. Unalipwa? Shenzi huna adabu
 
Mngejua msoto Serikali unaopitia kwasasa, wala msingeshadadia hizi Siasa za Maji taka zinazofanywa na CCM

Ili kuelewa hili, subirini Watumishi waanze kukopwa mishahara ndiyo mtajua madhara yake

Kwasasa Nchi haina fedha za utekelezaji wa miradi kama ilivyokuwa hapo awali

Hali ikiendelea hivi, yajayo sio mazuri kabisa
Wataelewa vipi na kazi yao kupiga mapambio..!!

Hawaoni hata miradi mingi imesimama pesa hakuna hazina. Lakini majitu yasiyotumia akili yanashadadia ujinga..!!
 
Mngejua msoto Serikali unaopitia kwasasa, wala msingeshadadia hizi Siasa za Maji taka zinazofanywa na CCM

Ili kuelewa hili, subirini Watumishi waanze kukopwa mishahara ndiyo mtajua madhara yake

Kwasasa Nchi haina fedha za utekelezaji wa miradi kama ilivyokuwa hapo awali

Hali ikiendelea hivi, yajayo sio mazuri kabisa
Fedha zipo za kutosha
 
Back
Top Bottom