Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Hata mlie na kutoa machozi ya damu, Lissu LAZIMA anyongwe hadi kufa!Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe.
Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
Hata mlie na kutoa machozi ya damu, Lissu LAZIMA anyongwe hadi kufa!
Wewe ni Jaji?Hata mlie na kutoa machozi ya damu, Lissu LAZIMA anyongwe hadi kufa!
Mimi ni shabiki na nina upande. Na upande wangu nataka Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa. Kuna kosa?Wewe ni Jaji?
Mimi ni shabiki na nina upande. Na upande wangu nataka Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa. Kuna kosa?
Akinyongwa itapunguza viherehere wengi waliomo humu JF na tutabaki na watu wachache ambao watakuwa wanajadili issues!Unafaidika nini...akinyongwa? Na unapungukiwa nini asiponyogwa?
Ok.Akinyongwa itapunguza viherehere wengi waliomo humu JF na tutabaki na watu wachache ambao watakuwa wanajadili issues!
Swali jengine?
Nyie CCM hamna akili, kilichotendwa kilisababishwa na wizi wenu wa uchaguzi.Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe.
Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
Muda ni mwalimu, tusubiri watakavyoanza kukopwa hiyo mishaharaFedha zipo za kutosha
Hao kusikia kwao ni kama kenge, hadi damu ziwatoke masikioniWataelewa vipi na kazi yao kupiga mapambio..!!
Hawaoni hata miradi mingi imesimama pesa hakuna hazina. Lakini majitu yasiyotumia akili yanashadadia ujinga..!!
Kudai uchaguzi huru na haki ni kufanya uchochezi,tushachoka mjue kushiriki dhambi zenu za kipuuzi basi tu.
Huyu aachiwe huru,inchi iondoke kwenye taharuki na kisha aitwe ikulu kwa mama uso kwa uso wafanye maelewano binafsi na kisha misaada na uwekezaji uingie na miradi itekelezwe kwa maslahi mapana ya taifa, hilo ndilo kubwa kwa CCM na Chadema wenyewe.Mngejua msoto Serikali unaopitia kwasasa, wala msingeshadadia hizi Siasa za Maji taka zinazofanywa na CCM
Ili kuelewa hili, subirini Watumishi waanze kukopwa mishahara ndiyo mtajua madhara yake
Kwasasa Nchi haina fedha za utekelezaji wa miradi kama ilivyokuwa hapo awali
Hali ikiendelea hivi, yajayo sio mazuri kabisa
Ni sahihi, kwasasa hali ya kisiasa na umoja wa kitaifa haupo kabisaHuyu aachiwe huru,inchi iondoke kwenye taharuki na kisha aitwe ikulu kwa mama uso kwa uso wafanye maelewano binafsi na kisha misaada na uwekezaji uingie na miradi itekelezwe kwa maslahi mapana ya taifa, hilo ndilo kubwa kwa CCM na Chadema wenyewe.
Wapo elfu arobaini tu. Wengi waliiba vyetiASkari wangi wataajiliwa kukabiliana na upumbavu wenu, ujinga wakati wa kwenda tu...
Ikifutwa CDM utafaidika na nini??Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe.
Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
Watajuaje hayo ikiwa wanawaza matumbo yao kuvimbiwa..!!Hao kusikia kwao ni kama kenge, hadi damu ziwatoke masikioni
Ila kwasasa Hali ni mbaya sana, miradi ya barabara, Maji n.k imesimama kutokana na kukosekana kwa fedha
Wakandarasi wengi wametelekeza miradi yao kwa kucheleweshewa malipo
Kwa kweli mjukuuWatajuaje hayo ikiwa wanawaza matumbo yao kuvimbiwa..!!
Hii nchi ina wajinga wengi
Tatua matatizo na tukuone unatatua! Hii isomeke loud n' clearTatua matatizo ya watanzania sasa wananchi wana akili tena kuelekea 2030. Tunaweza kuja kuchapana tena ikawa zaidi ya October 29 nyie endeleeni na upumbavu wenu