Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Suluhisho ni nini kifanyike mkuu. Ki ukweli umenigusa Sana hasa ulipojiweka kwenye nafasi ya wafanyabiashara binafsi. Toa suluhisho sasa. Nini kifanyike?Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.
Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.
Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.
Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.
Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.
Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.
Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.
Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.
Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
Kwa mini kaachana n gesi? Kwa sababu hakuna upigaji. Kaanzisha hill limradi ili aibe. Gesi haijatumika kabisa. Kwa mini amekomaa na analeta tu mvutano na mazingira. Ni MTU ambaye hatumii akiliNafikiri ungemuuliza huyo mleta mada. Yaani megawatts 2100+ hazina manufaa?
Two wrongs don’t make it right.Hivi unaijua 1.5 trilioni imepotea na CAG alivyohoji katimuliwa
Tatzo hamueleweki, watu wakipelekwa mahakaman kama wakina rugemalila, kitilya na wengine mnaanza tena kulalamika wanaonewa
NonsenseKwa mini kaachana n gesi? Kwa sababu hakuna upigaji. Kaanzisha hill limradi ili aibe. Gesi haijatumika kabisa. Kwa mini amekomaa na analeta tu mvutano na mazingira. Ni MTU ambaye hatumii akili
Wapi KangeUkiona hivyo ujue hawakuwa na makosa ila nihisia zenu mlihisi waliiba fedha za uma
Si kwamba wanapambana na ufisadi bali utumia fimbo ya ufisadi kwa walioagainst naoAcha kuzungusha maneno na kutaka kupoteza uhalisia, hakuna anayekataa hatua kuchukuliwa, lakini sio kuchukua hatua kwa watu wasiopendwa na mtawala na kuogopa wengine. Nimekutajia mfano halisi, tena hivi majuzi Rugemalila akiwa mahakamani amemtaka gavana wa BoT kuwataja waliopewa hela za escrow lakini gavana akaanza porojo za kisiasa.
Hizo hadithi za kupambana na rushwa na ufisadi ni porojo za propaganda nyepesi, na wote wanaokamatwa na wale huko nyuma waliohitilafiana na mkuku, hivyo wanalipiziwa visasi kwa mgongo wa kupambana na mafisadi. Hadithi hizi za kupambana na ufisadi labda mkawaambie watu wa vijijini wasiojua lolote. Ukiona mtu/ serikali inajisifu kupambana na ufisadi lakini haitaki uwazi, ujue hao ni matapeli kama matapeli wengine.
Utumia fimbo ya ufisadi na uhujumu uchumi kuwachapia wasiotaka kusujudia sanamu.Ukiona hivyo ujue hawakuwa na makosa ila nihisia zenu mlihisi waliiba fedha za uma
Wewe utakuwa mcawi mtarajiwa kama si mchawi tayari! Ina maana kila mmoja alikuwa anaishi maisha ya kuigiza? Mhitimu wa 2016-2019,mstaafu,mkulima wa korosho,pamba,mwenye kiosk n.k wote wana kosa gani? Usikufuru kisa unanufaika na mfumo uliopo leo.Kuna kesho.Watu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu.
Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Hata viwanja ilifikia hatuna kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha?
Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
Kwa hio escrow mchakato walifanya hao wawili tu.Ukiona hivyo ujue hawakuwa na makosa ila nihisia zenu mlihisi waliiba fedha za uma
Ana ban sijui kawafanyaje mods@UnforgetableUko sahihi ,nmesoma kichwa cha habari tu.
Ukweli nikua, anajinasabu kupambana na Umasikin, lakini kumbe anapambana na masikini.
Matokeo yake nikwamba, wote tutajikuta masikini.
Ngoja huyu Bia yetu aje aseme neno.
Sent using Jamii Forums mobile app
True ndo shida ya wengi,huyu alikuwa team buku 7 maslai yao yakikoma Giza uwatokaNikikumbuka mada zako za zamani miaka 2 au 3 iliyopita hadi nacheka.
Kabla ya hapo ulikua humpendi Magufuli, baadae ukaja kugeuka ukawa pro Magufuli sasa baada ya kukosa uteuzi umegeukia asili yako.
Hii ni ishara kua vijana wengi wako ccm kusubiria uteuzi, ndoto zao zikigonga mwamba wanarudi kwenye ukweli. Yaani kwanza mnajitoa ufaham, mkikosa uteuzi mnarudisha ufaham.
Acha kuzungusha maneno na kutaka kupoteza uhalisia, hakuna anayekataa hatua kuchukuliwa, lakini sio kuchukua hatua kwa watu wasiopendwa na mtawala na kuogopa wengine. Nimekutajia mfano halisi, tena hivi majuzi Rugemalila akiwa mahakamani amemtaka gavana wa BoT kuwataja waliopewa hela za escrow lakini gavana akaanza porojo za kisiasa.
Hizo hadithi za kupambana na rushwa na ufisadi ni porojo za propaganda nyepesi, na wote wanaokamatwa na wale huko nyuma waliohitilafiana na mkuku, hivyo wanalipiziwa visasi kwa mgongo wa kupambana na mafisadi. Hadithi hizi za kupambana na ufisadi labda mkawaambie watu wa vijijini wasiojua lolote. Ukiona mtu/ serikali inajisifu kupambana na ufisadi lakini haitaki uwazi, ujue hao ni matapeli kama matapeli wengine.
Hasira za nini sasa? Leo utaacha kunibinyia pua tu, sitanii.
Hasira za nini sasa? Leo utaacha kunibinyia pua tu, sitanii.
Leo utainama tu.Unajishebedua na upashkuna hyo kaz.yako hapo Lumumbu kumbe bdo unaendelea nayo pamoja na ubb uliokuwa nao
Sent using Jamii Forums mobile app