Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

Unakumbuka ulisema binti yako utaondoka nae akasome huko, kumbe huna hata pesa za kumsomesha bongo huko duniani utaweza?

Nina wawili nichukue nani niache nani?

Wote ni wanangu na kuchukua wote siwezi, hivyo ni bora wabaki wotee.

#Upendo wa usawa.

Nani kasema sina pesa za kumsomesha bongo?

#YNWA
 
Mimi ningechagua biashara.

Hizi mambo za kusoma ili uje uongezewe mshahara, usikute labda sasa hivi unapata 1M then uende kusoma ili uwe unapata 2M, mi kwangu kipesa zaidi naona ni hasara ila kwa jicho la kielimu zaidi ni faida.

Huo muda ukikomaa na biashara hiyo pesa unayoitegemea kua utakua mshahara ukipata phd unaipata hapo biasharani( ila kazi usiache kwanza mkuu)
 
Kasome tu maana nje na kusoma itakutengenezea na kukufungulia network nyingi za biashara hadi utashangaa maadam ukifika huko jaribu kuangalia zile location za mabusiness people hata kama ni gharama jitahidi kufika.
 
Uza duka kasome, ukirudi utakuwa na exposure kubwa zaidi katika biashara na International connection za ma mate wa PHD
 
Chukua ushauri huu na utanishukuru baadae.
KWANZA jua faida ya kupata elimu ya juu
1: unaweza pata PHD na ukaja ukafanya part time kufundisha vyuo vikuu ambavyo mara nyingi saa moja kufundisha huwa ni laki moja unusu Hadi laki mbili.

2: unaweza acha Kazi au kuomba uhamishwe ufundishe vyuo na mshahara mara dufu.

3: wakati upo masomoni,full salary inaingia hivyo kama kwa mwezi kwenye duka lako ulikuwa unapata laki mbili, Sasa tegemea mshahara wako wote kwa mwezi.

4: huko nje unaweza fanya Kazi maana elimu yetu ni kusoma hasubuhi Hadi jioni wakati wenzetu ni masaa machache tu hivyo kujiongezea kipato hasa dollar.

5: kwa kuwa umesema full sponsorship unayo,huweki chochote kama hela hivyo unaweza kuja kukuta mishahara yako ya miaka yote uliokuwa nje.

6: exposure

7: unaweza pata bahati hata ya kupata Kazi huko huko na usirudi bingo na ukapiga hela ndefu.

8: unaweza pata mtu wa kike na mkaanza maisha ukaachana na maisha ya kutungisha mimba na kuongeza watoto unnecessary, na bila mipangilio na kufanya single mother kuwa wengi.

9: ukirudi dar unaweza kaa muda mfupi na kupandishwa cheo na kukaa headquarter kama dar au Dom na wewe ukawa boss.

10: unaweza fanya biashara kwa kuwekeza hela yako unayofanya Kazi bongo na majuu na pia ukatumia fursa uko nje ya nchi baada ya kumaliza shule ukaleta container la vitu used na ukaja kufungua hapa hapa nchini na ukawa mfanyabiashara mwenye PHD nchini Tanzania na ndo utakuwa msomi wa kiwango cha juu kufanya biashara.

11: HATA ukiamua kufanya biashara na kuacha Kazi, NSSF yako itakuwa imenona hela

Ukiona ushauri wangu mzuri ufanyie Kazi ukiona haufai chagua unachoona kinafaa.
 
Hello! It is me, Mr. Liverpool again.

Replacement

Back to the topic: focus, stick to the original plan.

Iti isi a sosho media bosi HUNA HAJA YA KUWA MWALIMU.
Kwamba humu nako tuandike kama tuna type "Term paper"???

Relax and enjoy sijaja hatujaja kuandika "Research Humu"

#YNWA
 
1. PhD unaenda soma nchi gani?

2. Je, kuna masharti ya kukulazimisha wewe kurejea kwa mwajiri wako baada ya masomo?

3. Je, biashara unayoifanya huwezi kumwachia msimamizi?

4. Je, ukiahirisha hayo masomo kwa sasa, kuna uwezekano wa kuja kupata nafasi kama hiyo mbeleni?

5. Je, ni yapi malengo yako maishani? Kuwa mwajiriwa au kujiajiri mwenyewe?
 
Nenda shule Dogo, hicho kifaida cha laki tatu kwa mwezi ni kidogo mno,

Japo unge hayo ingekuwa poa
 
Nenda kasome.

Shida Yako ni pesa tu.

Pesa ziko Kila mahali.

Hutoweza zimaliza.

Ukija utazikuta na utazipata ukibidii kuzitafuta.

KASOME.
 
Nenda shule Dogo, hicho kifaida cha laki tatu kwa mwezi ni kidogo mno,

Japo unge hayo ingekuwa poa

Biashara inakuwa hiyo.
Huoni ilikuwa elfu 5 na sasa ni 45,000.

Baada ya miaka 3 itakuwa 45,000 kweli lazima iwe kwenye Laki 5 huko kwa siku.

#YNWA
 
Mimi kama kijana mwenzako ambaye tuko Rika Moja nakuusia chukua ushauri wa jamaa hapa.

Utafaidika pa kubwa wewe kwenda kusoma huko nje kuliko kubaki huko kwa mkurugenzi.

Nenda kale kitabu tena full scholarship daah ningepata hizi nafasi nisingejiulizs mara mbili mbili.

Tena inabidi nikufate inbox namimi nipate hizi chance nikapige masters yangu huko majuu.

Nenda kasome mzee wangu few years to come u will never regret this. Kwanza bado kijana sana fit and kicking.

Ungekuwa uko 40+ hapo tungewaza mengine.

Nenda kapige buku tena komaa hadi umalize. Na uhakikishe unarudi bongo ma PhD , exposure,fursa, ikiwezekana na uje na shem wetu mtasha,mchina whoever utayekutana nae sio excuse.
 
Tafuta byashara ambayo haina kikomo na ya kimataifa kias kwamba hata ukienda kufanya PhD utaendelea kufanya hiyo byashara na byashara inayolipa kwa sasa ni
Byashara ambayo ni unique!!kama upo sereous njoo pm tuonyeshane cha kufanya
 
Kweli elimu ya TZ ni shallow au vijana wamejichokea. Kweli kwa level ya masters unaandika neno REPRESEMENT ukimaanisha Replacement??? Nahisi hata smartphone yako ilikusahihisha ukaibishia. Anyways masomo mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…