Hayo ni kwa ajili ya vyeo vya kisiasa
Kijana kwa mila na desturi kijana ni yule ambaye hajabalehe kwa vijana wa kiume na kwa wa kike kijana ni yule ambaye hajavunja ungo
Kulitaja jitu lina Miaka 32 kama wewe ni ujinga wa hali ya juu.Miaka 32 ni mtu mzima anayetakiwa akili zake ziwe juu na anayeweza aminiwa hata kuwa mkuu wa kampuni,shirika au taasisi kubwa ya Serikali au hata huko halmashauri
Kama bado unajiona kijana hujitambui.Jinsi ya kupima IQ ya mtu kitaalamu unaangalia umri wa mtu halafu unaangalia uwezo wa hoja zake waweza linganisha na mtu wa umri gani.Ukiona mfano mtoto mdogo.miaka mitano ana hoja nzito zawa na mzee wa Miaka 67 huyo mtoto anatambuliwa kama ana IQ kubwa sana
Lakini uliona mtu mzima wa Miaka 32 anaongea hoja kuwa yeye kijana sawa na mtoto ambaye hajavunja ungo au kubalehe unajua huyo mtu ana IQ ndogo sana
Ndio maana nasema wewe IQ yako iko chini.Umri huo ilitakiwa ume settle umeoa una familia stable na watoto wa ndoa.Lakini kwa maelezo yako wewe bado ni playboy anayedhani kwa ujinga wake kuwa bado yeye kijana!!! IQ yako ndogo mno !! kichwa kikubwa lakini ndani akili hamna! umebeba bichwa tupu kubwa juu ya mwili.Unatesa mabega bure yaliyobeba hilo bichwa lililojaa ujinga mtupu