Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

Ushauri wangu utategemea na nchi unayoenda kusoma. Kama unaenda USA, Canada, na baadhi ya nchi Europe hata usiwaze mara mbili kwea pipa. Hiyo hela ni hela ya dakika chache tu huko na fursa zaidi zitafunguka.

Kama unaenda utopoloni huko Asia, Middle East au Eastern Europe that's a different ball game. Unaenda nchi gani tuanzie hapo?
 
....Byashara ambayo ni unique!!kama upo sereous njoo pm tuonyeshane cha kufanya.....

Ile hela tuma kwenye namba hii ...!!!

#YNWA
 
Kweli elimu ya TZ ni shallow au vijana wamejichokea. Kweli kwa level ya masters unaandika neno REPRESEMENT ukimaanisha Replacement??? Nahisi hata smartphone yako ilikusahihisha ukaibishia. Anyways masomo mema

Halafu watu kama nyie mko wengi humu....

Ndugu humu hatuandiki research, term paper au review hii ni social media.

Unataka niwe siriazii na MAANDISHI kweli.

Donti ni so siriazi ndugu yangu HAKUNA Lekchazii humuu...

Kuna siku niliandika "My book is where?" Mtu akadhani nimechapia.

Ukisoma post zangu utaona huwa naweka funga semi na fungua semi ikimaanisha HILO KOSA NI INTENDED KABISAAA

#YNWA

#YNWA
 
Mimi ni kijana ambaye SINA MPANGO WA KUOA japo nahitaji watoto watano...!!
Tuanzie kwanza hapo kwenye Miaka ulioyonao hiyo miaka 32

Miaka 32 sio kijana ni mtu mzima.Kujiita kijana inaonyesha akili kichwani huna na hata aibu huna.

Mwanamke yeyote kuzaa na wewe aweza zalisha toto zezeta lisilo na akili kama wewe hata kama lina Phd
 

Mzee baba kwani una shida yoyote na Mimi?

Punguza jazba au umekuja kunipunguzia stress.
Kijana ni kuanzia miaka 18 mpaka 45.
Soma vizuri miongozo ya taifa ""Ina mtambua kijana kwa umri gani?""

NB:-
Hivi UVCCM na BAWACHA wale ni vijana au watu wazima?
Unajua maana ya mtu mzima?
 
represement sio?!!


Sawa msomi wa PhD ambao puzzle ndogo kama hii huwezi Ku_solve then unataka u_some PhD ili u_solve matatizo ya taifa!

NB: Tuna wasomi wa hovyo sana.

CC:- Post #44

MZAWA JF Aione Kwenye Jalada

Sijui ndio ""Sii iti in ze faili""

NB:-
Don't be a quick judger and mostly in the Pessimism way.

Optimism pays much.

Understand the phrase (s).

#YNWA
 
Ona sasa! Ungekuwa na mke umeoa ungemwachia duka aendeleze na wewe ukaenda zako kusoma phd.

Yaani madam nimwachie mwanamke duka ili nikirudi nimkute..
1. Kajenga kwao
2. Mali zotee kahamishia sijui wapi
3. Ana mlea mwanaume mwenzangu
4. Yaani hovyo hovyooo tuuuu

#YNWA
 
Punguza jazba au umekuja kunipunguzia stress.
Kijana ni kuanzia miaka 18 mpaka 45.
Soma vizuri miongozo ya taifa ""Ina mtambua kijana kwa umri gani?""
Hayo ni kwa ajili ya vyeo vya kisiasa

Kijana kwa mila na desturi kijana ni yule ambaye hajabalehe kwa vijana wa kiume na kwa wa kike kijana ni yule ambaye hajavunja ungo

Kulitaja jitu lina Miaka 32 kama wewe ni ujinga wa hali ya juu.Miaka 32 ni mtu mzima anayetakiwa akili zake ziwe juu na anayeweza aminiwa hata kuwa mkuu wa kampuni,shirika au taasisi kubwa ya Serikali au hata huko halmashauri

Kama bado unajiona kijana hujitambui.Jinsi ya kupima IQ ya mtu kitaalamu unaangalia umri wa mtu halafu unaangalia uwezo wa hoja zake waweza linganisha na mtu wa umri gani.Ukiona mfano mtoto mdogo.miaka mitano ana hoja nzito zawa na mzee wa Miaka 67 huyo mtoto anatambuliwa kama ana IQ kubwa sana

Lakini uliona mtu mzima wa Miaka 32 anaongea hoja kuwa yeye kijana sawa na mtoto ambaye hajavunja ungo au kubalehe unajua huyo mtu ana IQ ndogo sana

Ndio maana nasema wewe IQ yako iko chini.Umri huo ilitakiwa ume settle umeoa una familia stable na watoto wa ndoa.Lakini kwa maelezo yako wewe bado ni playboy anayedhani kwa ujinga wake kuwa bado yeye kijana!!! IQ yako ndogo mno !! kichwa kikubwa lakini ndani akili hamna! umebeba bichwa tupu kubwa juu ya mwili.Unatesa mabega bure yaliyobeba hilo bichwa lililojaa ujinga mtupu
 


Aah kumbe hoja yako kuu ni MIMI KUKATAA KUOA.

Sasa si ungesema directly tu mzee baba.

Ila all in all KUOA SIOI NG'OOOOOO..

Mungu ametuahidi maisha baada ya maisha haya.
Nitaenda kuoa hukohuko.

Hapa duniani ni TAFUTA HELA ULE MEMA YA DUNIA.

If you think money doesn't buy happiness then go and ask the Homeless and the Jobless.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…