Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Tifa dangodeJina zuri sana, nimelipenda😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tifa dangodeJina zuri sana, nimelipenda😍
Kama Nassib huwa wanatamka Naseeb
John?sawa yahya
Quuen Latifa wa kwenye movie ya Set it off 😅😅😅Jina zuri sana, nimelipenda😍
Ila kuna Mkanganyiko kidogo John kwa kiswahili ni Yohana na Yohana kwa kiarabu ni YakubYakub, Hamza, Yusuf, Jameel
Huyo ni mrusi kaka.. Labda kama majina ambayo yana sound ivo..
Putin maana ake nn[emoji4]Huyo ni mrusi kaka.. Labda kama majina ambayo yana sound ivo..
Waleed (meaning "newborn" or "child")
Vladan (meaning "ruler" or "leader")
Vildan (meaning "paradise" or "heaven")
Vali (meaning "friend" or "protector")
Pasha (meaning "noble" or "distinguished")
FrankaihMbona Frank huniambii ?
Sawa sawa,Basi Hilo Vladimir litanifaa[emoji4]Hakuna lugha ya Kiislamu
View attachment 2596073
Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka,
Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye maana sawa la kiislam (Arab).
Kwa kuanzia haya ni baadhi ya majina ya Kikristo ambayo yanapatikana Tanzania ambayo tunaweza yapeleka kwenye tafsiri ya kiarabu:
Unaona majina haya yalivyo interchangeable, yanavyoshabiliana? Hii ni kumaanisha sisi sote ni ndugu.
- Lucy - Lusiya
- John - Yahya
- Mark - Markus
- Mary - Maryam
- Joseph - Yusuf
- Peter - Butrus
- Anna - Hannah
- Elizabeth - Alizabet
- Andrew - Andrawus
- Michael - Mika'il
- David - Dawud
- Esther - Ishtar
- James - Yakub
- Martha - Marta
- Luke - Lukas
- Rebecca - Rabiqa
- Paul - Bulus
- Sarah - Sara
- Timothy - Timotheo
- Ruth - Ruta
Je, haujaona lako bwana Richard, dada Doreen, nk.. Kama uko interested drop jina lako, ama kama uko kwny anonymity mode pretend hata ni la rafiki yako, upate jina la kudrop mahali Leo na kula Eid na wanao..
Natumai Eid hii ituletee furaha na amani sisi sote. Eid Mubarak!
Nawakilishaaa😂Tifa dangode