Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!!, pole sana Bro, sasa unauza vitu wewe utaishije Mkuu au unarudisha mpira kwa kipa one time?, anyway usiuze vitanda vyote Mkuu baki na kimojaMambo hayaendi mkuu
Kurudisha kwa kipa hapana mkuu kuna namna nataka nipate mtaji nianze kuzalisha kwa hela ntakayoipataDah!!, pole sana Bro, sasa unauza vitu wewe utaishije Mkuu au unarudisha mpira kwa kipa one time?, anyway usiuze vitanda vyote Mkuu baki na kimoja
hata mimi nimeelewa mkuu [emoji3][emoji3]Mimi mtu mzima, nimekuelewa uzuri sana...
poa poa Mkuu kila la kheriKurudisha kwa kipa hapana mkuu kuna namna nataka nipate mtaji nianze kuzalisha kwa hela ntakayoipata
Nahama kwenye hili jiji la Mwanza
Hivyo nitakuachia kila kitu cha ndani kwangu nilipokuwa nimepanga.... nyumba ina vyumba viwili Master moja na kawaida moja pia public toilet, ina jiko, sitting room pamoja na dining kodi ya nyumba kwa mwezi ni 167000 bado kuna kodi ya miezi miwili mpaka Nov ili kuisha.
Vitu vilivyopo ndani ni sofa set ya watu 3, 2, 2 na la mmoja nilitengeneza kwa 1milion, kuna tv showcase, coffee table nilichonga 150000 nilitengeneza kwa laki 4.5, kila chumba kina kitanda cha tano kwa sita na godoro lake ila chumba master kina godoro la QFL inch 12 lingine inch 8.
Kuna jiko la gesi na mtungi wake, dressing table nilichonga kwa laki 3, kuna kabati la vyombo nilichonga kwa laki 4.5 na ving'amzi kama utakuta havijachukuliwa maana nimeshaviweka sokoni.
Nyumba ipo Nyakato Mecco kwa aliyetayari tafadhari tuwasiliane 0622723082
View attachment 1902944
View attachment 1902945
View attachment 1902946
View attachment 1902947
Kama atapatikana mtu within this week nitakuachia vitu vyote kwa 2.7mil tuwasiliane 0622723082Nahama kwenye hili jiji la Mwanza