House4Rent Nipe milion 3 nikuachie pa kuishi

Bei ya hizo sofa zote, vitanda vyote na magoro yake ni bei gani? Unganisha meza na zuria lake?
 
Hii meza pia ipo bei 700k

IMG20210529091919.jpg
 
Nahama kwenye hili jiji la Mwanza

Hivyo nitakuachia kila kitu cha ndani kwangu nilipokuwa nimepanga.... nyumba ina vyumba viwili Master moja na kawaida moja pia public toilet, ina jiko, sitting room pamoja na dining kodi ya nyumba kwa mwezi ni 167000 bado kuna kodi ya miezi miwili mpaka Nov ili kuisha.

Vitu vilivyopo ndani ni sofa set ya watu 3, 2, 2 na la mmoja nilitengeneza kwa 1milion, kuna tv showcase, coffee table nilichonga 150000 nilitengeneza kwa laki 4.5, kila chumba kina kitanda cha tano kwa sita na godoro lake ila chumba master kina godoro la QFL inch 12 lingine inch 8.

Kuna jiko la gesi na mtungi wake, dressing table nilichonga kwa laki 3, kuna kabati la vyombo nilichonga kwa laki 4.5 na ving'amzi kama utakuta havijachukuliwa maana nimeshaviweka sokoni.

Nyumba ipo Nyakato Mecco kwa aliyetayari tafadhari tuwasiliane 0622723082

View attachment 1902944
View attachment 1902945
View attachment 1902946
View attachment 1902947

Kwa muamia Mwanza fursa hiyo
 
Kama atapatikana mtu within this week nitakuachia vitu vyote kwa 2.7mil tuwasiliane 0622723082
 
Back
Top Bottom