Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

Kwa stori hizi huko lindi siyo sehem ya kukaa watu akili zao hazifanyi kazi wana utindio wa ubongo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu yan Dom, Iringa na mbeya imechangamka? Au umekosea kuandika?
 
Napofanya kazi Luwasa hapohapo
Mandaz ya mama moyo kila siku na mlinzi wa shule lyatuu wa kuzingua ni rafiki yangu mageto mtanda
 
Napofanya kazi Luwasa hapohapo
Mandaz ya mama moyo kila siku na mlinzi wa shule lyatuu wa kuzingua ni rafiki yangu mageto mtanda
Siwakumbuki hao maana ni miaka mingi imepita ila nilipapenda Kwa mihogo mizuri na ile beach safi. Ni huko pia nilipojifunza kula pweza. Maji ya kunywa yanatoka ndanda km huna hela maji ya chumvi yanakuhusu au siku hizi maji hayana chumvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…