Nipeni elimu juu ya madeni ya Luku, hayo madeni huwa yanakopwa na nani? Kwanini nidaiwe mimi kwenye meter yangu?

Nyumba ina deni na deni Hilo ni kubwa ,Kwa sababu ukipga hesabu za haraka haraka hyo frem inajitegeme ruku yake so frem ina MDA mrefu haina mpangaji

USHAURI
1. Nenda tanesco ukafahamu deni kamili
2.ukishafamu deni ujue pia kila mwezi makato ya deni total NI TSH?
3.ukimalizana na tanesco rudi Kwa mweny nyumba mmalizane
 
The same case imenikuta kwenye nyumba yangu ambayo nimefungiwa umeme sina muda mrefu..... na mimi nimekatwa Tsh 6000

Nilichowaza kwa haraka ni kwamba hawa jamaa wanafidia zile sh 1000 za kila mwezi kwa miezi yote kwa mwaka hata kama umefungiwa umeme Mwezi Nov basi utalipia hizo buku buku tangu Januari.

Kama mnakumbuka huu mfumo wa huyo tozo ya buku ilipoanza walifidia miezi mitatu ya nyuma ambapo hilo wazo lilikuwa bado halijaletwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…