Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe wasema.Nyie ndiyo wale Vishoka mnaitia hasara Tanesco yetu! CAG taarifa zenu anazo kwa Sasa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasema.Nyie ndiyo wale Vishoka mnaitia hasara Tanesco yetu! CAG taarifa zenu anazo kwa Sasa!!!
Mental case.
Nyumba ina deni na deni Hilo ni kubwa ,Kwa sababu ukipga hesabu za haraka haraka hyo frem inajitegeme ruku yake so frem ina MDA mrefu haina mpangajiHabari zenu wote humu ndani.
Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki tozo.
Sasa ninajiuliza ni vipi hili deni, maana sehemu hii ni mpya kabisa.
The same case imenikuta kwenye nyumba yangu ambayo nimefungiwa umeme sina muda mrefu..... na mimi nimekatwa Tsh 6000Habari zenu wote humu ndani.