Ukipata mbil naomba mojaNipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870
Naunga mkono hoja, Huwa nashangaa mtu anakosaje kazi aseeMsimu wa kilimo huu joba usichague kazi
Kazi zipo ila ajira ndio hakuna.Naunga mkono hoja, Huwa nashangaa mtu anakosaje kazi asee
Chonde chonde ongezea neno 'halali' kwenye maelezo yako.Nipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870
Sasa hapo mtu atachelewa sana , kwani mtaji wa kwanza ni nguvu zako mwenyewe.Kazi zipo ila ajira ndio hakuna.
Watu wengi wanataka wapate ajira na sio kazi
Wasomi hao, wanakuja kuzinduka usingizini washapoteza muda mwingi sana.Sasa hapo mtu atachelewa sana , kwani mtaji wa kwanza ni nguvu zako mwenyewe.
Dunia ya Sasa bila kuweka usomi pembeni na kuchapa kazi unachelewa mnoWasomi hao, wanakuja kuzinduka usingizini washapoteza muda mwingi sana.
Amen Allah amjaalie apate kazi ila si kazi yoyote