Ndio mpaka mtu awe na uelewa huo, na michongo mingi ya fweza ipo nje ya walichosomea.Dunia ya Sasa bila kuweka usomi pembeni na kuchapa kazi unachelewa mno
jamaa hayupo serious toka April 21-2025 ndo alianza harakati za kusaka job mpka Leo hii hajapata hii inaonyesha there is something wrongNdio mpaka mtu awe na uelewa huo, na michongo mingi ya fweza ipo nje ya walichosomea.
Madogo wanaogopa jembe , wanafikiri maisha ni marahisi kihivyoNdio mpaka mtu awe na uelewa huo, na michongo mingi ya fweza ipo nje ya walichosomea.
Based na data za haraka haraka mtaani sii rahisi. Mfano mtu anamaliza degree sociology halafu umkute anachona mahindi au kubeba zegeDunia ya Sasa bila kuweka usomi pembeni na kuchapa kazi unachelewa mno
Ni ugoigoi kukosa pesa mfukoni halafu unachagua kazi , kazi ni kazi muhimu mkono uende kinywaniBased na data za haraka haraka mtaani sii rahisi. Mfano mtu anamaliza degree sociology halafu umkute anachona mahindi au kubeba zege
Muda ukifika watalikimbilia hilo jembeMadogo wanaogopa jembe , wanafikiri maisha ni marahisi kihivyo
Msoto wa kupata kibarua sio rahisi japo kwa mtu ambae mtaji n nguvu kweli ni muda mrefu umepita.jamaa hayupo serious toka April 21-2025 ndo alianza harakati za kusaka job mpka Leo hii hajapata hii inaonyesha there is something wrong
Kwanini sociology😫 nimelia sana🥺Based na data za haraka haraka mtaani sii rahisi. Mfano mtu anamaliza degree sociology halafu umkute anachona mahindi au kubeba zege
Hata Kwa bakora kibarua Cha kulima sifanyiNjoo tulime hapa kakola
Nipo serious ila ndo sijapata kama kuna kibarua hata cha kukata majani wewe nipe kazi maana mimi ni mtu wa kazi , siwez kuacha kazi huku sina kazi.na usimdharau asiye na kazi, kesho unaweza kukosa kazi ,ukamuomba kazi na akakupa kazi.jamaa hayupo serious toka April 21-2025 ndo alianza harakati za kusaka job mpka Leo hii hajapata hii inaonyesha there is something wrong
ufundi wa pikipiki,ufunge crank shaft kama huwezi nikubadilishie kazi.Kazi gani kaka , nipange nije. Niifanye
safi sana ,Hata Kwa bakora kibarua Cha kulima sifanyi
wAPI nimekudharau ?Nipo serious ila ndo sijapata kama kuna kibarua hata cha kukata majani wewe nipe kazi maana mimi ni mtu wa kazi , siwez kuacha kazi huku sina kazi.na usimdharau asiye na kazi, kesho unaweza kukosa kazi ,ukamuomba kazi na akakupa kazi.
Yaani mimi niku setie, badala ya wewe uende kutafuta au kuuliza hapo.Nifanyie mchongo
Mbona mjanja mjanja hivyoNipo serious ila ndo sijapata kama kuna kibarua hata cha kukata majani wewe nipe kazi maana mimi ni mtu wa kazi , siwez kuacha kazi huku sina kazi.na usimdharau asiye na kazi, kesho unaweza kukosa kazi ,ukamuomba kazi na akakupa kazi.