Haha sio kwa michano hyo ila nlikwambia ukipata mbil naomba moja m nko nyasubi hpNipo serious ila ndo sijapata kama kuna kibarua hata cha kukata majani wewe nipe kazi maana mimi ni mtu wa kazi , siwez kuacha kazi huku sina kazi.na usimdharau asiye na kazi, kesho unaweza kukosa kazi ,ukamuomba kazi na akakupa kazi.
AminaUswaze jah ata bless, one day yes kila hatua dua,ujobless utakwisha na changamoto zote tunazopitia.
huonekani mdogo wangu!Sawa
vp sasa au tufanye kesho? Unaonaje? Ila iwe asubuhi saa 4Kuna mvua kaka
Kazi zipo nyingi ila vjana wanataka zile za kupiganazo snapNaunga mkono hoja, Huwa nashangaa mtu anakosaje kazi asee
Pole sana endelea kupambana mkuuJamaa muongo mi nilifika sehemu husika aliyo nielekeza namtumia ujumbe kupitia jf wala hakunijibu na namba yake alikataa kunipa