Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
hii nayo mpya kwanguTafuta mtu avunje mayai yalioandikwa kiarabu mlangoni kila wiki mara moja
Halafu wewe pita yakanyage kama huyaoni
Watakuogopa tu
Hapana sina kosa ila mara nyingi ni watu wanatengeneza maneno na skendo, watu wanaojipendekeza kwa maboss ndo wanatupaka matopejaribu kuangalia unakosea wapi ujirekebishe ukijiona huna kosa kuwa bize na mambo yako utawashinda
we hauko serious na unajuaJifanye umepigiwa simu halafu unaongea kama walokole wanavyonena kwa lugha.
Mkuu ukiona unapigwa sana vita lazima uapply mbinu tofauti tofauti Ili watu wakuogope.we hauko serious na unajua
Walitupa kwangu mlangoni asubuhi nikayasukuma na mguu kesho yake wakaweka vitoto vya bundi πππTafuta mtu avunje mayai yalioandikwa kiarabu mlangoni kila wiki mara moja
Halafu wewe pita yakanyage kama huyaoni
Watakuogopa tu
Una MOYO NA ROHO YA KISOVIET (RUSSIAN)Nilikaa siku mbili bila kulala vizuri usiku baada ya mkataba wangu kuisha na boss kukataa ku-recommend tu niongezewe
Lakini sasa naamini pengine pale sikuandikiwa...nilipewa ushauri wa kwenda Bagamoyo kwa mtaalam lkn nilikataa, wengine wakasema niende kwake boss nikamuombe, pia niligoma..sababu kazi nying nilifanya mimi na boss alkuwa kilaza tu
Mungu kanipa serikalini na malipo mazuri kweli
kama niivyo kuwa bize na mambo yako na usionyeshe kwamba unaathirika na vita vyao,wakigundua unaumia ndo watazidisha, wakiona unanawili na kupendeza wataachana na wewe? vita haviepukiki makazini mkuu chamsingi hakikisha vita hivyo havikuhalibii kazi yako kingine jalibu kujishusha uone hali itakuwaje ,kama vile kuwasalimu n.k...watu wapuuzi sana wanaweza kumchukia mtu bila sababu yoyote chamsingi ishi kwa akili nyingiHapana sina kosa ila mara nyingi ni watu wanatengeneza maneno na skendo, watu wanaojipendekeza kwa maboss ndo wanatupaka matope
Mkuu nilipata shida sana sitasahau...nilikuwa nikiwaza maisha ambayo naenda kuishi, usingizi unakata kabisaUna MOYO NA ROHO YA KISOVIET (RUSSIAN)