Natamani ungekuwa unauelewa wa wa tz sisi tulivyo.Kana una ufanisi kwenye kazi yako hakuna wa kukuondoa kazini. Unless you have your own fatal mistakes.
Mimi ni mtz na nafanya kaz tz. Tena nimeshafanya kazi over 15 yrs.Natamani ungekuwa unauelewa wa wa tz sisi tulivyo.
OkMimi ni mtz na nafanya kaz tz. Tena nimeshafanya kazi over 15 yrs.
Sasa wao wakiwa na muda akati wee hauna, inastua nn?Unakuta wao Wana muda wa kuhaha na ww
Wee ndi usome nilicho kiandika na ukielewe vema. Lolhujaelewa ebu soma vizuri niambie ulicho elewa
Wajinga sana hao , hivyo hivyo kwangu ila nilimkaushia bila hta salamu kenge yule ...Sina time wala sisalimii watu wajinga ni kupoteza muda .Scenario km ninayopitia mm
Mtu anakuchukia hujamkosea chochote kibaya n mwanamke msimbe sina tyme naye always yeye ananipaka matope na kuniongelea vibaya vibaya mbele za watu.
Sauwaa mamaSasa wao wakiwa na muda akati wee hauna, inastua nn?
C unakua buzzy na mambo yako? Au hujaelewa? Lol
umeajiriwa au umejiajiri, usiombe ukutane nao.Hivi mda wa kuhaha na wafanyakazi wenzio unatoa wapi? Wee kuwa buzzy na mambo yako.
Maisha mbna rahisi haya, ugumu unauweka wee. Lol
Mkuu nakuelewa sn, ni kweli unachokisema.hujaelewa ebu soma vizuri niambie ulicho elewa
Hatari sanaTafuta mtu avunje mayai yalioandikwa kiarabu mlangoni kila wiki mara moja
Halafu wewe pita yakanyage kama huyaoni
Watakuogopa tu
Hasa ofisi ikiwa na wanawake wengi tegemea majungu ,fitina.Kazini kuna vita sana, vita vya kiroho na vita vya macho ya damu na nyama.
Usiache kusali