Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Ni PM kama uko serious
 
Naomba nikuulize haya maswali unijibu kwa ufasaha
1.Una elimu kiwango gani nikiwa na maana kuanzia la kwanza hadi form six wewe uliishia wapi?
2.Baada ya elimu ya vidato ni taaluma gani uliyosomea au hata kama hujasomea darasani hata mitaani kuna taaluma zina mpa mtu ugali je ni ipi
3.Kwa vyovyote yuko boss juu yako na yeye huenda ana boss juu yake je uhusiano wako na boss juu yako ukoje na boss wa boss wako?
4.Wewe unatoka mkoa gani? Najua Tanzania hatuna ukabila ila taja kabila lako
5.Una umri gani
6.Jirani unapoishi wenzio wanakuchuliaje?
NIJIBU HAYO HALAFU SASA NIKUFAFANULIE
 
Mi principle yangu ni moja sitaki workmate ajue nyumbani kwangu na familia yangu, na pia sitaki mazoea ya kijinga, hata ikitokea amejua sitaki kabisa mambo ya kukaribishana nyumbani bila sababuya msingimay be uwe msiba au ugonjwa... na pia muda wa kazi ukiisha sitaki kabisa kuonekana pale kazini bila sababu ya msingi....

Pia nyumbani sitaki mpumbavu yoyote ajue nafanya kazi wapi, otherwise ajue kimpango wake na sitaki kabisa kuzungumzia chochote kuhusu kazi yangu... Ishi ki-gangster hakuna fala atakae kuletea usenge...
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Wmbu elezea in details vita ya aina gani unaoigwa? Wanakuandama kwa njia ipi?
 
Mi principle yangu ni moja sitaki workmate ajue nyumbani kwangu na familia yangu, na pia sitaki mazoea ya kijinga, hata ikitokea amejua sitaki kabisa mambo ya kukaribishana nyumbani bila sababuya msingimay be uwe msiba au ugonjwa... na pia muda wa kazi ukiisha sitaki kabisa kuonekana pale kazini bila sababu ya msingi....

Pia nyumbani sitaki mpumbavu yoyote ajue nafanya kazi wapi, otherwise ajue kimpango wake na sitaki kabisa kuzungumzia chochote kuhusu kazi yangu... Ishi ki-gangster hakuna fala atakae kuletea usenge...
Short and clear
 
Kazi kazi.
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Acha ushamba, kazini hakuna vita. Sema Kuna migogoro
 
Kuishi na watu kazi sana.
Kuna watu ambao hutaka kuwajua watu kiundani alafu akishindwa anakuwa kama adui.

Na wewe hapo hujui chochote kuhusu yeye na wala hujaonyesha dalili za kutaka kujua Mambo yake.

Sijui ni ujinga, ujanja, ushamba,wehu........................................................................................................................................................................................................
hawa watakua wehu
 
Back
Top Bottom