Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Je una tabia za
-kihele hele ofisini?
-mjuaji wa kila kitu?
-unazoea watu kwa nguvu?
-unapenda ukubwa?

JIFANYIE TATHIMINI WEWE KWANZA,
LEO UTASHINDWA KUISHI NA WATU OFISINI.
KESHO UTASHINDWA KUISHI NA WATU MTAANI.
KESHO KUTWA UTASHINDWA KUISHI NA MKE/MUME NDANI
 
Ngoja nimtafsirie ulichomaanisha "acha ujinga mwambie shetani akusaidie hiyo vita"
Una fikra mbaya sana, aliyekudanganya neno kuroga ni maalum kwa ajili ya waabudu shetani nani?.
Kwanza utaendaje kufanya kazi kwenye miofisi ya watu upo kizembe?, unajua kuna maagano gani pale?, lazima utafute mchawi nani!.
Mchawi ni wewe uliyekaa kihasara!
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Kila sehemu
 
Jitathmini ni wapi unakosea, haiwezekani sehemu zote tatu ushindwane na watu. Kuna shida somewhere na hujaamua kuikubali.

NB: Makazini unapaswa kujipendekeza sana, bila kujipendekeza kinamna fulani ni ngumu kutoboa. Ndiyo maisha yetu sisi waAfrica
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Serekaline au?
 
1.Keep down low.
2.Be humbe
3.Low profile.
4.Acting Low.
5.Put some Respek to all y'all.
 
Fanya yafuatayo,
Cha kwanza,husitengeneze urafiki mkubwa na mtu wa ofisini kwako ,madhara yake siku mkija kutofautiana mtatoleana siri.
Cha pili,weka mazoeana na wafanyakazi wenzako hasa kwenye masuala ya kazi zaidi,Kuwa bize na kazi zako,acha stories za kuzungumzia watu,boss au mambo negative ya taasis.
Cha chatu,husi expose sana mambo yako kwa wafanyakazi wenzako,wataanza kukutengezea zengwe kwa maboss zako
Cha nne,fanya kazi zako hasa mda wa kazi,husipende kubaki ofisini nje wa kazi au weekend bila sababu utatengenezewa kesi za wizi
Cha tano,husilazimishe kufanya kazi usiopangiwa na boss wako fanya kazi unayepagiwa ikitokea imeharibika ni rahisi kujitetea
Mwisho,mazoea yako na boss wako yawe hasa kwenye masuala ya kazi,
FUATA HAYO UTANISHUKURU HIZO ZENGWE ZIPO KWENYE KILA OFISI HAZIEPUKIKI BROTHER
 
Hapana sina kosa ila mara nyingi ni watu wanatengeneza maneno na skendo, watu wanaojipendekeza kwa maboss ndo wanatupaka matope
Kuna huyo boya mmoja angekuwa incharge pale kazin keshanifukuz kazi..ila kila akipeleka taarifa kunihusu huwa ni kama anampuuza...akija huku nje ni kukenua kenua meno tu kumbe jinafki tupu
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Kuna kitu kinaitwa SIASA ZA MAKAZINI, inahitajika akili nyingi sana ku accomodate mawazo na mtazamo wa workmates kuweza ku survive, usiache kujipendekeza pale inapohitajika, lengo likiwa mwisho wa siku upate mkate wako na wanao, kutunishiana misuli na waajiri ambao ndio wameshikilia makali haitasaidia in a long run.
 
Hii comment nataman ni ipin
 
Acha mazoea na watu wa kazini utaishi kwa amani ,ishi kama bubu ..Ikipendeza achana na kukaa karibu kama kuangalia status zako na wao wasione zao ..Usiende kwenye mchanganyiko wa hafla nje ya kazi ; usiende kwenye harusi ya mfanyakazi mwezio au sherehe yake binafsi .

Ishi wasikujue ulivyo ,usipende kusambaza taarifa zako..Kama ni mwanaume usizoeane na mwanamke kwa namna yoyote ile wala kutongoza ...Walie buruzi hata kukuongelesha wanaone aibu.
Mbinu gani hizo unamfundisha mwenzako?! Hapo ndo anaharibu kabisa!

Atakuwa zake mkimya watasema anajisikia… nina uhakika hiyo ndo lifestyle yake ila bado anakaliwa kooni

I bet ni wanawake ndo wamemuanzishia gumzo hilo…, hivi viumbe ni vya hovyo sana! Ingawaje vinatupa utamu
 
Kazini sometimes kuna shida. Mimi nafanya kazi na uncharged ambaye hana appreciation hata ufanye kazi vzr kiasi gani. Halafu ni mtu anayependa kuonekana kuwa yeye ndiyo anafanya kazi zote peke yake hataki subordinates waonekane, kwenye events nyingi za kiofisi tunakuwa backstage anajitambulisha mwenyewe tu. Transparency na ushirikishwaji hakuna yani ni shida. Ukitoa mawazo yako anayapinga kwa hiyo hatuchangii kitu tunanyamaza tu.
 
Mbinu ziko nyingi, zingine ni hatari unaweza kupoteza kazi. Huu ushenzi makazini upo sana. Unaweza kujikuta umechukiwa bure na staff wote na kosa huna, mpaka bosi naye anajitokeza kuongoza chuki kazini. Ilibidi nitetee heshima yangu kwa kuanza na naibu bosi nikamkunjia ngumi nikamuambia nataka heshima, unipige au nikupige tupigane ili heshima ije. Naibu akakimbia, akaja bosi mkuu katuna anataka anipige nikaipangua mikono yake akasogea pembeni kujiokoa. Mindi kuwa wale ni wakubwa mbali tu kwangu. Nilifanikiwa kwa shida sana kuondoa fitina na chuki kazini. Chuki na wivu zipo sana maofisini
 
Back
Top Bottom