kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
100Never outshine your Master.
100Never outshine your Master.
Unamkwepa Mganga unaenda kwa tapeliUsisahau kusali
Huenda una nyota Kali sana na wameshakuchungulia kilingeni
Huna haja ya kwenda kwa waganga usije kuwa mtumwa wa giza
Juzi nilikuwa kawe kwa mwamposa na Kuna maalimu wangu anaitwa Fadhil alikuwepo kuchukua mafuta na maji
Bora uhakikishe unapata mafuta na maji ya kutoka kwa mwamposa kuliko kwenda kwa mganga
Kila siku usisahau kupaka mafuta kwenye miguu na mikono kabla ujaenda kazini
Nimekimbia mengi hasa sisi ofisi zetu tuko idadi sawa wanaume na wanawake.Mbinu gani hizo unamfundisha mwenzako?! Hapo ndo anaharibu kabisa!
Atakuwa zake mkimya watasema anajisikia… nina uhakika hiyo ndo lifestyle yake ila bado anakaliwa kooni
I bet ni wanawake ndo wamemuanzishia gumzo hilo…, hivi viume ni vya hovyo sana!
Basi Tatizo ni hiyo CV yako. Kuna mijitu ni michawi tu,na mchawi hajawahi kuwa na sababu ya kuroga!. Permanent solution ni kukaa ndani ya YESU tu ili akuzungushie FENCE. Hili Mimi limenihakikishia usalama 100% popote. Wapo waliotaka kunitoa Roho kichawi lakini walipeperushwa kama upepo. 100% Safe in JESUS 🙏na apply zikitangazwa
No connection
No rushwa
Just cv
Kila mtu ana nafasi yake kazini Cha msingi kama unafanya kumsaidia mwenzako usije ukadharau nguvu zake,pia kuwa na kiasi sio kila kitu ww unajifanya mjuajiKuna mijitu mingine ,hata ukifanya hivi bado kuleta chokochoko tu, unakua sehemu majitu yanafikili upo pale kuchukua nafasi zao kumbe wewe upo na malengo tofauti, aya dawa yao kama upo na ushahidi ni kuyachana live na boss kama ndo mpokea majungu mfuate mweleze seriously, wakati mwingi woga uliopindukia makazini ndo husababisha yote.
Mbinu kubwa ya kushinda vita, ni kuto kupigana kabisa. Jitahidi kujua majukumu yako na kuyatimiza kwa wakati na ufanisi. Nani hajafanya nini sio kazi yako, Nani afanye nini sio kazi yako, ikitokea umeulizwa fulani unamuonaje, sema ni mtu bora sana hata kama humjui, kazini kukosoa kosoa watu ni mwiko, utajitafutia maadui bure!Makazini kuna vita nyie??
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….
Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.
Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo
Nafanya kazi yangu naenda nyumban
Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.
Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Elezea vizuri unapigwa vipi fitina, uko straight na job au mipigo kwa sana yaan ikojeMakazini kuna vita nyie??
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….
Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.
Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo
Nafanya kazi yangu naenda nyumban
Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.
Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Acha kashfa basi kazi ni kitu chochote mtu anachoona kinamuingizia kipato iwe kwa mhindi au Mchina.Kazi kwako mbaya kwa mwenzio nzuri na watoto wake wanaishi tengua hiyo kauli sababu kuna kitu kinaitwa Karma.Hiyo kazi yako unayodharau kazi ya mwenzio katika mguu uone kama watakuona wa maanaKwa kazi isije kuwa unafanya kazi kwa wahindi unasema nawe unakazi
Hakuna mbinu ngingine zaidi ya hiki unachofanya. Kwa kuongezea:Nafanya kazi yangu naenda nyumban
Kwenda kwa mwamponsa hakuna tofauti na kwenda kwa mgangaUsisahau kusali
Huenda una nyota Kali sana na wameshakuchungulia kilingeni
Huna haja ya kwenda kwa waganga usije kuwa mtumwa wa giza
Juzi nilikuwa kawe kwa mwamposa na Kuna maalimu wangu anaitwa Fadhil alikuwepo kuchukua mafuta na maji
Bora uhakikishe unapata mafuta na maji ya kutoka kwa mwamposa kuliko kwenda kwa mganga
Kila siku usisahau kupaka mafuta kwenye miguu na mikono kabla ujaenda kazini
😅😅Hakikisha Kila uvaapo nguo ya ndani kama ni boxer au chupi, vaa nje ndani yaani igeuze
Hio mbinu ni nzuri endapo majadiliano yameshindikanaMbinu ziko nyingi, zingine ni hatari unaweza kupoteza kazi. Huu ushenzi makazini upo sana. Unaweza kujikuta umechukiwa bure na staff wote na kosa huna, mpaka bosi naye anajitokeza kuongoza chuki kazini. Ilibidi nitetee heshima yangu kwa kuanza na naibu bosi nikamkunjia ngumi nikamuambia nataka heshima, unipige au nikupige tupigane ili heshima ije. Naibu akakimbia, akaja bosi mkuu katuna anataka anipige nikaipangua mikono yake akasogea pembeni kujiokoa. Mindi kuwa wale ni wakubwa mbali tu kwangu. Nilifanikiwa kwa shida sana kuondoa fitina na chuki kazini. Chuki na wivu zipo sana maofisini
Mkuu nimefanya kazi kwa mhindi, mchina, mbongo na kwingineko naelewa nini nazungumza. Sijaandika kwa hisia.Acha kashfa basi kazi ni kitu chochote mtu anachoona kinamuingizia kipato iwe kwa mhindi au Mchina.Kazi kwako mbaya kwa mwenzio nzuri na watoto wake wanaishi tengua hiyo kauli sababu kuna kitu kinaitwa Karma.Hiyo kazi yako unayodharau kazi ya mwenzio katika mguu uone kama watakuona wa maana
Usihame kazi, kwa kuogopa Vita za makazini,popote walipo watu, Vita Zita kuwepo, watu wanaweza kukuanzishia Vita kuanzia siku ya kwanza unaajiriwa, cha msingi elewa, kuwa kwanza, wanakuhofia, wanakuogopa,"people fear what they don't understand, hate what they can't conquer "Makazini kuna vita nyie??
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….
Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.
Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo
Nafanya kazi yangu naenda nyumban
Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.
Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Hakuna aijuae kesho/ siku zoteee mwenyezi Mungu anatuwazia MEMAMkuu nilipata shida sana sitasahau...nilikuwa nikiwaza maisha ambayo naenda kuishi, usingizi unakata kabisa
Washtaki kwa Mungu direct, yaani umsimulie Mungu moja baada ya jingine, kama alikuwa haoni vile. Halafu tulia.Makazini kuna vita nyie??
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….
Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.
Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo
Nafanya kazi yangu naenda nyumban
Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.
Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
This is powerful.Hakuna mbinu ngingine zaidi ya hiki unachofanya. Kwa kuongezea:
Usiwe na makundi Usijikombe Golden rule: usi-date na mfanyakazi mwenzako Usizungumzie mafanikio yako