aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
ndioUlimpa kazi?
ndioUlimpa kazi?
salamu ukienda kwenye ofisi yoyote nimuhimu.Ila mkuu, mtu asipokusalimia sio kwamba amekudharau. Chukulia tu kuwa amevurugwa.
siokuringa salimia.kubali kujishushaUnaringa sana wewe jamaa
Hiyo ni kawaida Mkuu,we Fanya kazi kwa misingi ya kazi,kuwa msikilizaji kuliko kuwa muongeaji na usiwape nafasi wakujue sana,ikiwezekana wasijue hata unapoishi na usiwe na mahusiano ya kimapenzi ukitokea kuna Me na Ke!Hapo ndio utaharibu kabisa.Yangu ni hayo tuu .Nimeyapitia na nikayashinda Hivi Sasa nipo mitaani naendeleza,haya haya .Makazini kuna vita nyie??
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….
Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.
Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo
Nafanya kazi yangu naenda nyumban
Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.
Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Na suluhisho ni Dkt Majini atampatia hayo Mayai ya Kiarabu nimeona Katia Nia UdiwaniTafuta mtu avunje mayai yalioandikwa kiarabu mlangoni kila wiki mara moja
Halafu wewe pita yakanyage kama huyaoni
Watakuogopa tu
Mkuu inamaana uwe unampatia pesa huyo Madam?Hata Mimi nakumbuka watu wanasema ongea na madam, utaishi vipi ukitoka hapa, utarud kijijini,
Nikawaambia muda huo sina, bado nipo mjini nakomaa
Shikamoo kaka .siokuringa salimia.kubali kujishusha
wewenimkubwa kwangu.sema (mambovipi kiongozi)Shikamoo kaka .
Mambo yanaenda lakini ?
Mambo vipi kiongozi ?wewenimkubwa kwangu.sema (mambovipi kiongozi)
Watu kama hao ni kwaroga waache kazi wenyewe bila kufukuzwa.Kuna huyo boya mmoja angekuwa incharge pale kazin keshanifukuz kazi..ila kila akipeleka taarifa kunihusu huwa ni kama anampuuza...akija huku nje ni kukenua kenua meno tu kumbe jinafki tupu
Yaan niongee nae anipe Tena nafasi nyingn kwenye kampuni yakeMkuu inamaana uwe unampatia pesa huyo Madam?
Matajiri na wanaoongoza Dunia wote ni walozi, sema kingine mzee babaWarogaji wanaabudu mungu gani? au kuroga ni tabia ya kimungu, kuna zuri lolote katika kuroga?
Watu kama hao ni kwaroga waache kazi wenyewe bila kufukuzwa.
Hakika backbite na watu wa aina hyo c wa kuacha cz wenyew ni zaid ya wachawiWatu kama hao ni kwaroga waache kazi wenyewe bila kufukuzwa.
unamiaka mingapi? ikizidi 25 wewe mkubwa kwanguMambo vipi kiongozi ?
Alafu nani kakuambia mimi mkubwa ? Sipendi kukuzwa kaka
Dah basi ,nisamehe kwa majibishano na wewe mtoto wangu .unamiaka mingapi? ikizidi 25 wewe mkubwa kwangu
😁😁😁😁😁😁😁Dah basi ,nisamehe kwa majibishano na wewe mtoto wangu .
Badaye mwanangu .🙏🙏
Onaonekana ni kijana mdogo ambaye hujawa matured kisawasawa, kama sikosei uko kwenye 20’s mwishoni au kati au 30’s mwanzoni… huwezi kunielewa na madhara yake huyajuiMkuu usipopiga wenzako wanapiga kiroho safi