zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,508
- 27,663
mimi niliwahi ambiwa na boss wangu kapewa taarifa nimemwita fala
mkubwa wangu kikazi akaniomba nikaombe msamaha kwa boss, nikamwambia amwambie boss sina utoto wa kuomba msamaha kwa jambo la kijinga ambalo sijui limetokea wap?
ujumbe ukamfikia boss mkubwa tangu hapo akajua mie si mtu wa maneno maneo na kujikomba
akanipendekeza kuchukua nafasi flani nkakataa hadi leo tunaishi vyema
wazo langu ni nini simamia ukweli achana na stor za kuomba msamaha hata kwa jambo ambalo ujatenda