Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Pole sana mkuu ,mimi nilishawahi kupitia hii hali ....mwisho niliishinda (1) kata mazoea ya story nao mfano ushabiki wa ki mpira ,siasa nk usibishane nao maongezi yawe kwa kifupi na ya kikazi tu .

(2) Usipende kumuongea mwingine ukiwa na mwingine .

(3) focus kwenye kazi .

(4) Usiwaambie mafanikio yako ,changamoto zako na wewe usishoboke na vitu vyao epuka lift zao ,sherehe zao au ku share baadhi ya vitu nao

Thanks
 
Nilikaa siku mbili bila kulala vizuri usiku baada ya mkataba wangu kuisha na boss kukataa ku-recommend tu niongezewe
Lakini sasa naamini pengine pale sikuandikiwa...nilipewa ushauri wa kwenda Bagamoyo kwa mtaalam lkn nilikataa, wengine wakasema niende kwake boss nikamuombe, pia niligoma..sababu kazi nying nilifanya mimi na boss alkuwa kilaza tu
Mungu kanipa serikalini na malipo mazuri kweli
Hongera sana Mkuu
 
Pole sana mkuu ,mimi nilishawahi kupitia hii hali ....mwisho niliishinda (1) kata mazoea ya story nao mfano ushabiki wa ki mpira ,siasa nk usibishane nao maongezi yawe kwa kifupi na ya kikazi tu .

(2) Usipende kumuongea mwingine ukiwa na mwingine .

(3) focus kwenye kazi .

(4) Usiwaambie mafanikio yako ,changamoto zako na wewe usishoboke na vitu vyao epuka lift zao ,sherehe zao au ku share baadhi ya vitu nao

Thanks
nimeichukua hii mkuu
 
ipi kat ya izo
 
Mbinu kubwa ya kushinda vita, ni kuto kupigana kabisa. Jitahidi kujua majukumu yako na kuyatimiza kwa wakati na ufanisi. Nani hajafanya nini sio kazi yako, Nani afanye nini sio kazi yako, ikitokea umeulizwa fulani unamuonaje, sema ni mtu bora sana hata kama humjui, kazini kukosoa kosoa watu ni mwiko, utajitafutia maadui bure!
Aisee hiyo comment bora sana
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Mkuu niko kama wewe asilimia 100% NAOMBA TU TUTAFUTANE
Kazi ya kwanza alikuepo jamaa anaitwa GEORGE - Mpare huyu alikuwa zaidi ya adui
Kazi ya pili alikuwepo jamaa anaitwa DR. Emmanuel- Msukuma adui haswa
Kazi ya tatu niliyopo kuna George -MSUKUMA ZAIDI YA SHETANI
 
Binafsi nimebatika kidogo zunguka ofisi mbali mbali kidogo, so ipo ofisi moja hivi nilikutana na hii, mwamba mmoja alikua na tabia hii kuchonganisha watumishi na maboss , mnafiki mnafiki sana, ila uzuri wa haya makazi , hata mtu uwe mkuu wa idara flani mulemule ndani ya idara ipo na watumishi wapo na mafail yako , sasa unaweza ukawa mkuu wa idara ila sio top,

So nimekaa mda mfupi nikajua ile ofisi inaenda vipi, watumishi wengi walikua wanamchukia yule ndugu.

Sasa mnajua tu ,mtu akizoea jambo kama ni tabia hawezi kuacha , ikaja fika zamu yangu, ile ofisi upo mda wa kwenda kula msosi , chai n.k mda ufikapo na nikaribu na maeneo husika ya ofisi.

So siku moja nikasema ,uyu ngonja nimwoneshe kwamba wote hapa ni waajiriwa japo yeye ni boss wa idara.

So siku moja mda wa lunch mimi nilitoka nje ya eneo lile tunapataga lunch , so wakati narudi nikamkuta ndo anakaribia Getini akitoka kula so ,nilimpelekea gari kama nataka kumpitia na kubakiza cm kidogo , aliruka kama Ngiri , then nikamwambia pole Boss.

Baada ya siku mbili alinipigia sim tukutane akiuliza kwamba ile kweli ilikua bahati mbaya ? Nikamwambia ndio wenda na mawazo ya kazini yamechangia ,akauliza mawazo gani ,nikamweleza umbea unaofanyika kutaka kuaribiana kazi, akasema anarishughulikia mapema sana , hata miezi sita haikupiata , nikaondoka ofisi husika
Daah wee jamaa uliua sana aisee
😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nakumbuka nimetoka tuu campus nikapata niseme tuu job,

sasa bhn nimefika pale siku ya interview boss anawaka kama kafumania mtu,

Akikaa dk moja nasikia anaambia wafanyakazi utakuwa unaniibia au umeniibia, ni kung'aka ni kufoka tuu,

Me nikaanza job bhn twende twende, nakumbuka akaniambia utakuwa pia office admin kwa muda hivyo niwe nareport ishu za staff wengine, wame sign in saa ngp, kutoka, wamepeleka order ngp km watu wa mauzo, nani mgeni kaja,

Picha likaanza kunipa hiyo kazi nikaona uspy huu, kesho yake nikachelewa job, saa moja na nusu ananipigia simu maake ndo mwisho wa kureport ndo nipo morroco,

Kafokaaaaa me huwa namsikilza tuu akimaliza atakata simu yake,

Tumeenda Kuna siku nimempigia simu kumbe ana teleconference sehemu nyingn, so nika issue order maake huwa hataki order itoke bila ku confirm yeye,

so kwakua ameni point office admin nikaruhusu mzgo utoke nikatoa EFD na invoice anakuja baadae namwambia ananiita mwizi,

Nilimkazia jicho hakuamini macho yake,

sasa akawa ananiambia ooh mara upo hivi mara vile, sjui mbn sio mnene, mara unatakiwa ule, plus maujinga mengi sana,

Yaani alikuwa ni apeche apeche plus kashfa za hapa na pale

Nakumbuka mpaka siku moja akatuma mesej ya kuomba msamaha, mm hata sikumjibu nika mute!

kakaa weeh, anakuja kuniambia ooh unajua nimekusoma vzr kwakuwa mm ni mwanamke na wewe ni me basi unataka unitawale kama nature inavyotaka kitu ambacho mm sitaki akiwa yeye,

Aseeh kila siku ilikuwa ni sintofahamu sema kikubwa mm namkubali alinipa nafasi ya kuwa kwake kwa muda niliokaa na kujifunza alinifundsha kazi, na appreciate Hilo,

Ila ana maneno na ubabe wa kiaina ambao watu wale wanaolia kila siku lazima ulie,
Kampuni binafsi zina mambo sana 😂

Nafkiri hakuwa sawasawa kichwani huyo
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Epuka watu kukujua jua sana weka mipaka kuwa mtu wa misimamo
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Waroge wote wanaokuzingua hapo kazini.
 
Sijui wanakuaga na roho gani aiseee hasahasa wadada ambao wapo kwenye ofisi husika kwa mda mrefu🙌
Hii dunia imeshajawa na ushetani kwa kiwango kikubwa sana sasa! Yaani hawa Wanawake wakiwaga kazini wanataminigi wajazane wao tu ndo wajae mule mwisho ofisi nzima iwe imetawaliwa na wanawake watupu! Mwisho wa siku kukaaga wao kwa wao muda mrefu sehemu moja bila kugombana ni ngumu…, lazima watavurugana wao kwa wao tu

Yaani sasa hivi kuna vita inaendelea kati ya jinsia kuu mbili (Wanawake na Wanaume) chokochoko hii kubwa ikianzishwa na kuendeshwa na hawahawa wanawake zetu. Wanataka kufanya mapinduzi katika kila kitu ikiwemo mamlaka na uongozi wao ndo wawe juu yetu, yaani wapingane na nature (NI KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI!)

iliwahi tokea benki fulani maarufu nchini Tanzania hapahapa, tawi fulani, mkoa fulani (Benki nzima imejaa wanawake, wanaume hawafiki wanne… siku wakavurugana ngumi zikarindima na Camera zinaona, baadae wakaitwa HQ kuwekwa kikao ikagundulika ni vijimaneno vyao vya chinichini, fitna na unafiki + kuchukuliana ma-sponsor wenye mizigo mikubwa benki) ila yakawa solved kimya kimya.
 
Back
Top Bottom