Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Kama boss wako ana akili nzuri na hajarogwa.....vumilia utafika mbali sana....
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Niliwahi kufanya kazi pahala....boss alikuwa ni mwanamke....watu wote wanamuabudu na kumtetemekea....kujipendekeza...kumpelekea tumaneno....fitna ilikuwa imetawala...chuki kuu....umbeya n.k....Sasa mimi nikawa sina taimu....kampuni yote iliniona NUKSI....boss mwenyewe alikuwa ni mkali sana na ni mama mtu mzima.....
Huwezi amini...siku isiyo kuwa na jina nikatembea nae....Sasa hapo akaanza kunipa mafaili ya watu wooote kwenye kampuni.....
KWA KIFUPI KAZINI HAKUNA RAFIKI....USIMUAMINI MTU.....
 
jaribu kuangalia unakosea wapi ujirekebishe ukijiona huna kosa kuwa bize na mambo yako utawashinda
Ego inawamalizaga watu wa namna ya mleta uzi.

Wengi makazini wanapend kua kivyao vyao ila mazoea ya hapa na pale yapo, utake usitake.
Sasa ukijikuta we bandidu ndio hizo vita za kipuuzi zinaanza.
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Amka mapema kabla yao,

Wanapoanza swalaaa, swalaaa!

WEWE uwe umeshamaliza kuiumba vyema siku yako kazini.

Ukifanya hivyo utakuja kushuhudia hapa.
 
Acha ujuaji, KAZI zenu za kuajiriwa inatakiwa kuwa nyumbu na chawa otherwise utafutwa kila KAZI utakayopata. Muda mwingine ni alarm kuwa achana na KAZI za kuajiriwa jiajiri maana hizo sio gani yako
 
Makazini kuna vita nyie??

Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda….

Nadhan ni kwasababu ya personality yangu.

Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo

Nafanya kazi yangu naenda nyumban

Lakini game inaonekana ina mbinu nyingi na chafu zaidi.

Wakongwe mnipe mbinu
NB: kama huna kazi au hujawai ajiriwa uwe msikilizaji
Tafuta sheikh na ufuate maelekezo yake vizuri.
 
Hapana sina kosa ila mara nyingi ni watu wanatengeneza maneno na skendo, watu wanaojipendekeza kwa maboss ndo wanatupaka matope
Unajuaje kwamba kuna watu wanapeleka maneno kwa maboss?ni nani anayekuletea hizi taarifa?kama kuna mtu ambaye huwa anakuletea umbea basi huyo huyo pia anachukua taarifa zako na kuzipeleka achana naye uwe kivyako na jifanye huoni chochote kinachofanyika uwe bize na kazi yako baadae wenyewe watajiona mataahira kwa kupoteza muda wao kumfuatilia mtu ambaye hana muda nao
 
Mbinu ni wewe ubadilike au uanze office yako, wewe ndo Tatizo unalohama nalo kote ulikoenda!
 
Out shine

?
Maana yake unapoenda kazini au upo sehemu , usiwaoneshe kuwa wewe ni smart kuwazidi wenzako.

Hii itakueletea mgogoro wewe na workmate zako.

Unachobidi ni kutimiza majukumu yako Ila usiwafanye wajue kuwa unawafunika hii ni hatari hasa katika Jamii zetu za kiswahili.
Pia ujuaji mwingine,kujua vitu sio shida ila heshimu mipaka yako
 
Back
Top Bottom