Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

Naona Kuna wakristo wanajadili bila kujua diversity katika ukristo. Kabisa la Mitume, linaruhusu mitala. Hamia Hilo kanisa oa mke mwingine maisha yaendelee aisee. Usihangaike na mambo ya hapa Duniani , Hawa viumbe wa ajabu sana.
 
Kwa sababu ushafika mpaka kwa viongozi wa dini fanya hivi, nenda mahakamani umpe taraka na sababu ya kunyimwa unyumba inatosha mahakama kutoa taraka baada ya hapo unaweza kuoa.

Kwa wakristo ndoa ni mke 1 tu hakuna option ya wake 2 kwenye cheti huwa iko hivo na haiwezi badilika
Kanisa la Mitume wanaruhusu Kiongozi, mke zaidi ya mmoja.
 
Acha kumtisha wewe ,maisha sio magumu kiasi hicho kuishi na mke asiyetaka tendo ni jinai iliyojificha,hicho kiapo Cha mpk kifo kitakapotutenganisha hakijakizi uhalisia wa kibanadamu
Unaoa ili mtengane baadae au unaoa ili kifo kiwatenganishe?
Kama unaoa ili baadae mtengane ni muhimu kuwa katika imani inayoruhusu wake wengi au uwe kwenye imani yako ili uwe huru zaidi kuoa wake wengi.
 
duuh watu mna uvumilivu. uliwezaje aisee. mwaka na nusu, wewe mbinguni njia ni nyeupe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani siku hiyo ya kwanza angerudi kwao
Unashangaa mwaka 1 tu? Mbona wanawake wanavumilia hata miaka 8, mwanaume anatoa kibesi tu ndani lakini yupo busy hana muda na mkewe!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ukipewa unatoa show mbovu, mke kapoteza interest, hivi hivi usipojirekebisha hata mke utakayeoa mwingine mambo yanaweza yakawe yale yale, angalia porn mkuu upate ujuzi 😁 😁 😁 😁 😁, seriously mpe talaka yake ila kabla hujampa ongea nae mwambie unaona ni sahihi mtengane, kama ana akili zimebaki na upendo upo atajirekebisha...
 
Back
Top Bottom