Last_Joker
Senior Member
- Nov 23, 2018
- 174
- 261
Ukiwa nje ya Tz inawezekana ila kwa kwetu hiyo amout kupata si rahisi maana internet yetu mashaka$1000 kwa mwezi? 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa nje ya Tz inawezekana ila kwa kwetu hiyo amout kupata si rahisi maana internet yetu mashaka$1000 kwa mwezi? 😄
Sawa, thou ni too good to be trueUkiwa nje ya Tz inawezekana ila kwa kwetu hiyo amout kupata si rahisi maana internet yetu mashaka
$1000 kwa mwezi? 😄
Mpaka ufikishe $1000 si umetumia TB kadhaa
obviously ndio maana kwa bongo kupata hizo pesa ni kipengele labda upate kwa referralMpaka ufikishe $1000 si umetumia TB kadhaa
Hiyo kwa wale wanaotumia wifi inawafaa. Lakini hivi vibundle vyetu vya buku mb 300 unaenda kuvitow tena. Dahobviously ndio maana kwa bongo kupata hizo pesa ni kipengele labda upate kwa referral
Ingekuwa inalipa kweli unafunga zuku fiber halafu unaacha irun mwezi mzma kama 25tb 😄😄 kwa malipo yale yale ya 68000 kwa mweziiously ndio maana kwa bongo kupata hizo pesa ni kipengele labda upate kwa referral
ukiingia kwenye website yao hawajaficha jambo. unaweza kufanya research, how inafanya kaziSawa, thou ni too good to be true
Sijatumia hii lakini haina tofauti na honeybee kwa maelezo yako. Nachoona tu ni kwamba ngumu sana kupata ela ya maana ukijtahidi sana utaishia kupata $10ukiingia kwenye website yao hawajaficha jambo. unaweza kufanya research, how inafanya kazi
😆😆😆 ni kweliHiyo kwa wale wanaotumia wifi inawafaa. Lakini hivi vibundle vyetu vya buku mb 300 unaenda kuvitow tena. Dah
Exactly ni kama honey gainSijatumia hii lakini haina tofauti na honeybee kwa maelezo yako. Nachoona tu ni kwamba ngumu sana kupata ela ya maana ukijtahidi sana utaishia kupata $10
Yes I mean honyegain.Exactly ni kama honey gain
Hii malipo yakujia kwa njia gani?Yes I mean honyegain.
Sijawah kuitumia ila naijua, labda muulize jamaa anaweza kuwa anafahamuHii malipo yakujia kwa njia gani?
Download premises app ipo playstoreHii unafanyaje mkuu Mimi nipo muda ninao Kazi zangu haziniban
Ngoja ntaifatilia..Sijawah kuitumia ila naijua, labda muulize jamaa anaweza kuwa anafahamu
Kwa PayPal au Bitcoin. Ila ukiwa mtu wa trading unweza ukazitoa kwa kupitia jumptask walletHii malipo yakujia kwa njia gani?
Duka linaingiza faida kiasi gani kwa siku?Nimekusoma.
Asante kwa wazo mkuu, lakini hilo sintolifanyia kazi kwasababu muda wote nakua nimekaa dukani.
Kama kuna njia nyingine ambayo unakuwa umekaa sehemu moja tu, naiomba
Appen wana project ya kutest Amazon voice assistance a.k.a Alexa. Wanalipa 5$ per hour lakini sharti account yako iwe Kenya😂😂😂😂😂Mm nachojua net profit ya hizo vitu ni sifuriii
Mkuu habari yako. Naomba unielekeze kuhusu haya mavitu.Kazi zipo kama hizi mtaji ni bando lako Ila tatizo tunafanya in illegal way kwasababu tunatumia profile za nchi nyingine kama US, CANADA na UK.
Hatufanyi kama watanzania.
Na ww umeshasema unataka ambazo sio illegal[emoji119]View attachment 2152726