Me niko level 2 and 3 ila sijawahi kuweka hizo video.Level ya kwanza unatuma majina yako na kitambulisho. Wakishahakiki unaingia level ya pili ambapo unatuma passport na kipande kifupi cha video.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nilienda google kwanza [emoji2].Kama ina make hiyo itanifaa ,naomba muongozo bossHahaha nisubiri nini?
Hii kitu taamu sana na chungu pia
KaribuNilienda google kwanza [emoji2].Kama ina make hiyo itanifaa ,naomba muongozo boss
Labda ulijiunga zamani kabla hawajaweka hivyo vigezo. Hongera sana, sasa hivi una coins ngapi? ulianza kufanya mining lini?Me niko level 2 and 3 ila sijawahi kuweka hizo video.
Hii renec nataka nifikishe 500 coins.
Jifunze kucheza game za NFT .. unaweza kupata zaidi ya dola 40 kwa siku ukifika level ya intermediate
Kuna jambo halimake sense, hasa hapo pa kuinvest.ONLINE JOB....TAKE YOUR TIME TO READ THIS [emoji116]
DEALNO1 ni kampuni ambayo imeingia ubia na makampuni ya kuuza bidhaa mitandaoni kama vile AMAZON, SHOPIFY, WALMART nk...Kazi Inahusu kuverify orders za wateja online na kwa siku unauwezo wa kuverify orders mpaka 40 tu ambacho ni kitendo cha dk10 mpaka 15 tu.
MALIPO: Malipo ni $3 (Tshs 6900) kwa siku 3 za mwanzo then baada ya apo utaamua kama unaendelea au unaachana nao
KWA WATAKAO ENDELEA: Naamini mpaka kukamilisha siku 3 za kkwanza utakua ushapata mwanga jinsi kazi inavyoenda, so apo utatakiwa kufungua akaunt yako na kuinvest ili kuendelea kuverify orders
LENGO LA KUINVEST: Ukiamua kuinvest then pale ukakapokua unaverify orders utakua unalipwa kutokana na kiasi ulicho invest
KWA ATAKAE HITAJI KUJIUNGA [emoji116]
Ukimaliza uninanicheki whatsapp
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.me
Chini apo nimekuwekea proof ya malipo
View attachment 2175003View attachment 2175004
Vya picha, annotation, na mengne mkuu.
Hii ipoje mkuu na inafanyikaje?Kazi zipo kama hizi mtaji ni bando lako Ila tatizo tunafanya in illegal way kwasababu tunatumia profile za nchi nyingine kama US, CANADA na UK.
Hatufanyi kama watanzania.
Na ww umeshasema unataka ambazo sio illegal[emoji119]View attachment 2152726
Paypal na payoneerHv hawa Appen wanalipa kwa njia gan kwa sis wabongo?
Hyo payoneer bongo inakubali?Paypal na payoneer
Unapewa kadi unawithdraw pesa atm au unaihamisha kwenye bank inakubali 100%Hyo payoneer bongo inakubali?
Technically apo kwanza unatafuta kisicho hitaji mtaji probably. Ila sasa hakuna $2 nyepesi ivyo mtandaoni, moja ya valid business ingekuingizia $2 ni forex apo na huitaki which is good maana ni maamuzi yako. Tafuta kamtaji ka mpesa au tigo ambayo unadhani liquidity itakua juu alafu uanza kuangaika maybe utaweza. But jua hakuna pesa rahisi ata iwe $1 au below lazima sweat na purukushani ziusike.Habari wakuu.
Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.
Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia kwasababu:
-Blogging na apps sina uzoefu nayo na sijasomea IT,
-Forex kuijua inabidi uache shughuli nyingine uconcetrate nayo,
-Kubet hakutabiriki, leo unapata kesho unakosa,
-Crypocurrency mtaji wake ni mkubwa, kima cha chini ni 100,000,
-Referral invite networking watu wanaiona ni utapeli kwakuwa wengi wameshalizwa.
Karibuni kwa ushauri wakuu, nitafurahi sana nikipata njia ya uhakika ya kuingiza $2 online kwa siku.
Beginner
enrollapp.com
Legend
We Test.com
Testerwork.com
Usercrowd.com
Nahitaji
Bando La Muda Wote Online
Strong Reliable VPN
Lain Ya Safar Com Kenya
Kuwa Smart Kwenye Kufanya hizo Kazi
Fuatilia hayo Utanikumbuka