Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Level ya kwanza unatuma majina yako na kitambulisho. Wakishahakiki unaingia level ya pili ambapo unatuma passport na kipande kifupi cha video.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Me niko level 2 and 3 ila sijawahi kuweka hizo video.

Hii renec nataka nifikishe 500 coins.
 
ONLINE JOB....TAKE YOUR TIME TO READ THIS [emoji116]

DEALNO1 ni kampuni ambayo imeingia ubia na makampuni ya kuuza bidhaa mitandaoni kama vile AMAZON, SHOPIFY, WALMART nk...Kazi Inahusu kuverify orders za wateja online na kwa siku unauwezo wa kuverify orders mpaka 40 tu ambacho ni kitendo cha dk10 mpaka 15 tu.

MALIPO: Malipo ni $3 (Tshs 6900) kwa siku 3 za mwanzo then baada ya apo utaamua kama unaendelea au unaachana nao

KWA WATAKAO ENDELEA: Naamini mpaka kukamilisha siku 3 za kkwanza utakua ushapata mwanga jinsi kazi inavyoenda, so apo utatakiwa kufungua akaunt yako na kuinvest ili kuendelea kuverify orders

LENGO LA KUINVEST: Ukiamua kuinvest then pale ukakapokua unaverify orders utakua unalipwa kutokana na kiasi ulicho invest

KWA ATAKAE HITAJI KUJIUNGA [emoji116]

Ukimaliza uninanicheki whatsapp

Chini apo nimekuwekea proof ya malipo

View attachment 2175003
Screenshot_20220404-073537.jpg
 
View attachment 2175003View attachment 2175004
Kuna jambo halimake sense, hasa hapo pa kuinvest.
 
Kazi zipo kama hizi mtaji ni bando lako Ila tatizo tunafanya in illegal way kwasababu tunatumia profile za nchi nyingine kama US, CANADA na UK.
Hatufanyi kama watanzania.
Na ww umeshasema unataka ambazo sio illegal[emoji119]View attachment 2152726
Hii ipoje mkuu na inafanyikaje?
Naomba abc zake
 
Hv hawa Appen wanalipa kwa njia gan kwa sis wabongo?
 
Habari wakuu.

Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.

Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia kwasababu:

-Blogging na apps sina uzoefu nayo na sijasomea IT,
-Forex kuijua inabidi uache shughuli nyingine uconcetrate nayo,
-Kubet hakutabiriki, leo unapata kesho unakosa,
-Crypocurrency mtaji wake ni mkubwa, kima cha chini ni 100,000,
-Referral invite networking watu wanaiona ni utapeli kwakuwa wengi wameshalizwa.

Karibuni kwa ushauri wakuu, nitafurahi sana nikipata njia ya uhakika ya kuingiza $2 online kwa siku.
Technically apo kwanza unatafuta kisicho hitaji mtaji probably. Ila sasa hakuna $2 nyepesi ivyo mtandaoni, moja ya valid business ingekuingizia $2 ni forex apo na huitaki which is good maana ni maamuzi yako. Tafuta kamtaji ka mpesa au tigo ambayo unadhani liquidity itakua juu alafu uanza kuangaika maybe utaweza. But jua hakuna pesa rahisi ata iwe $1 au below lazima sweat na purukushani ziusike.
 
Kama huna mtaji wewe kabeti tu uangalie kama una babati huko vinginevyo kutoboa bila mtaji utasota sana
 
Back
Top Bottom