Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Shida hela mkuu tungependa kujifunza ila bado tunaangalia ni namna gani tutaweza kupata pesa za online kuhusu kujifunza na kulipia mafunzo ni suala lingine [emoji17]
 
Mwaka 2008 wakati bitcoin inaanzishwa, ilijitokeza fursa ya kujipatia sarafu kwa kuchimba (mining) kupitia computer bure. Wachache waliamini wakachimba ila wengi walipuuzia kwa kuwa hazikuwa na thamani ya pesa (monetary value) kwa wakati huo. Wale waliochimba wamenufaika kwa kuuza sarafu walizochimba.

Miaka 14 baadaye imejitokeza tena fursa ya kujipatia coin za RENEC kwa kufanya mining.

1. Kujisajili na kuchimba ni bure.
2. Hakuna ulazima wa kumuunga mwenzako.
3. Coin ikizinduliwa waweza kutoa pesa kwa njia ya simu au benki.

Kama upo willing, nicheki DM kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga njoo DM ni buure bila hata 50

Pia waweza kutembelea ukurasa wa instagram Heisslyman Msaba
 
haya sasa kumekucha kuna hii kitu inaitwa scatec inatoa shilingi elf 6 bure kwa members wapya. cha kufanya ni kubinya link hii hapa kisha jisajili alafu toa pesa telekeza account utakuja kunishukuru
[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hii nchi kuna majitu ni majinga sana. Can you imagine mtu anawaza apate hela kkisakuweka dola 2!!!?
Endeleeni kupigwa
 
Mi pia nipo Scatec mkuu japo bado sijafanya withdraw ya kwanza ila nipo kwenye hatua nzuri ya kupiga pesa link yangu hii hapa Scatec
 
Nina task ya facebook advertising (malipo ni dola10)

nitakupatia tangazo utapost kwenye magroup ya Facebook au telegram

kisha utarecord video fupi ya sekunde chache

Malipo ni dola 10


inahitaji watu 10 tu wa kufanya kazi hii

malipo ni ndani ya masaa mawili tu ukishamaliza

Jiunge hapo [emoji116] usome maelekezo zaidi

 
Kujua forex inabidi uache shughuli nyingine na uconcetrate wakati mm ni graduate na nilianza kujifunza kabla ya kuchukia shada yangu...na Sasa hivi nipo saiti na Bado nasongaa...tatizo mwafrica kufanya research/utafiti anauliza kwa watu vijiweni au small circle bas wakati unaweza kugoogle ukaingia library na vitu vingine vinavyoweza kukupa information dah....kasheshee[emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…