moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
JESHI, TISS, Polisi, TAKUKURU, TRA, Mamlaka ya Chakula na Dawa, EURA, CAG, nk..Kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote kwa hiyo kwa sasa hata hao mnaoita Washauri sijui Rais ni taasisi ni maneno ya kwenye kanga tu!
Mamlaka ni nyingi.
Kuna wakati zinapeleka ushauri kwa rais ambaye anapaswa kutekeleza baada ya mashauriano na watalaam wengine kwa manufaa ya nchi.
Wewe kama utafanikiwa kuwashawishi watanzania na hivyo kutwaa madaraka utakuwa rais wa ovyo sana.