Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Sana Tena sana na haifai kama ni muogaKuna uhusiano wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana Tena sana na haifai kama ni muogaKuna uhusiano wowote?
Kura yangu nàkupa, unagombea kupitia chama gani?Nitafanya mambo matano muhimu.
1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za uhakika kwa Watanzania wengi sana.
2. Kuifanya Dar es Salaam kuwa Mji wa Biashara kweli na Dodoma Ofisi na Makazi ya Serikali tu. Kwenye hili kila kitu cha Kibiashara na maeneo makubwa mazuri ya starehe yatajengwa Dar.
Dodoma kutakuwa na Ofisi za Wizara, Ikulu, Bunge na Mahakama tu. Hakuna taasisi itakuwa na Ofisi Dodoma bali Ofisi za Taasisi zitagawanywa mikoa mbalimbali ikiwemo Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma, Lindi, Iringa, Kilimanjaro, Tanga na Njombe ili kuleta uwiano katika vichocheo vya maendeleo sehemu mbalimbali.
3. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kuelekea kusini, katikati na kaskazini mwa Afrika kupitia Bandari zake na reli. Hapa nitaweka miondombinu ya uhakika ya reli za umeme na barabara za uhakika kwenye njia zote za mipaka ya kuingia na kutoka Tanzania.
4. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Utalii na Uwekezaji Afrika. Kila kivutio cha utalii kinachopaswa kuwepo Tanzania kitawekwa.
Mwisho nitaivunja Wizara ya Ardhi na kuajiri vijana wapya ambao watafanya zoezi na kuipima na kuipanga nchi nzima.
Kabla ya yote haya nitaanza na Katiba Mpya.
Mungu nisaidie!
Utakua rais wa machawa wote…Enhee Mwenyezi Mungu Akusaidie….AmeenUlivyo popoma kwenye mada yote umeona Arusha na Dsm tu? Hujaona hoja za kuifanya Tanzania kama nchi? Huelewi Tanzania kama nchi inahusisha mikoa yote?
Hujui pia kuwa maeneo haya waanzilishi wa nchi yako waliya designate kama maeneo ya kimkakati? Huelewi kwa nini Arusha iliitwa the Geneva of Africa?
Hujui ulitengwa kuwa mji wa kimkakati kwa Mashirika ya Kimataifa ili uwe kama Geneva?
Au umezaliwa 2010 ukapata akili nchi ilivyokuja kupata viongozi wa hovyo ambao walikuwa wanaendesha nchi kwa matakwa yao na chuki zao?
Una tatizo kubwa sana wewe!
Asante. TuombeaneKura yangu nàkupa, unagombea kupitia chama gani?
One day YesBahati mbaya hakuna Sera ya mgombea binafsi Tanzania
Uzuri anajifurahisha wala hatokuwa prezidaa kweli..!!Huyo anatafuta nafasi ya kuzunguka na misafara kama chief Godlove
Unaweza kuigeuza hii nchi kuwa ULAYA ndani ya miaka 3 tu.Nitafanya mambo matano muhimu.
1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za uhakika kwa Watanzania wengi sana.
2. Kuifanya Dar es Salaam kuwa Mji wa Biashara kweli na Dodoma Ofisi na Makazi ya Serikali tu. Kwenye hili kila kitu cha Kibiashara na maeneo makubwa mazuri ya starehe yatajengwa Dar.
Dodoma kutakuwa na Ofisi za Wizara, Ikulu, Bunge na Mahakama tu. Hakuna taasisi itakuwa na Ofisi Dodoma bali Ofisi za Taasisi zitagawanywa mikoa mbalimbali ikiwemo Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma, Lindi, Iringa, Kilimanjaro, Tanga na Njombe ili kuleta uwiano katika vichocheo vya maendeleo sehemu mbalimbali.
3. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kuelekea kusini, katikati na kaskazini mwa Afrika kupitia Bandari zake na reli. Hapa nitaweka miondombinu ya uhakika ya reli za umeme na barabara za uhakika kwenye njia zote za mipaka ya kuingia na kutoka Tanzania.
4. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Utalii na Uwekezaji Afrika. Kila kivutio cha utalii kinachopaswa kuwepo Tanzania kitawekwa.
Mwisho nitaivunja Wizara ya Ardhi na kuajiri vijana wapya ambao watafanya zoezi na kuipima na kuipanga nchi nzima.
Kabla ya yote haya nitaanza na Katiba Mpya.
Mungu nisaidie!
Nchi gani ya mwalimu nyerere unayoisema? Ya hawa wananchi walioachwa wanaishi kwenye nyumba za tembe na wanavaa nguo za viraka? Wananchi walioachwa wanapanga foleni kununua vitu kama sabuni?Unaweza kuigeuza hii nchi kuwa ULAYA ndani ya miaka 3 tu.
Unaweza kuita kila tajiri huko duniani, akaja akajenga majumba marefu, ghorofa, barabara urembo za kulipia na madaraja na ya nakshi.
issue ni kwamba, wananchi wako wanapata manufaa gani??
Kupiga picha kwqenye majengo na kurekodi video za kujisifia halafu wanarudi nyumbani.
kUNA NCHI YA mWALIMU nYERER HAIKUJENGWA HIVYO.
Nenda Kenya kajionee maghorofa halafu nenda Kibera, Pipeline estste, mathere kaone wakenya halisi wanavyoishi.
Kuna kipindi nilijaribu kwa mzalendo wa kweli, aisee Yaliyonikuta ni matusi tu na kejeli kutoka kwa watoto wa vigogo wa CCM.Uzalendo mtu akiwa apeche akilambishwa asali anaanza kutuambia tuhamie burundi.
Kama wewe ni Mungu sawaUzuri anajifurahisha wala hatokuwa prezidaa kweli..!!
Umewahi kwenda nje ya nchi??Nchi gani ya mwalimu nyerere unayoisema? Ya hawa wananchi walioachwa wanaishi kwenye nyumba za tembe na wanavaa nguo za viraka? Wananchi walioachwa wanapanga foleni kununua vitu kama sabuni?
Umeenda Kenya if hivi karibuni na kuona wanavyo transform hayo maeneo yaliyojengwa hovyo kwa ajili ya hao wananchi wa kawaida?
Ona kinachofanyika Kenya alafu ujione mlivyo nyuma.View attachment 3192923View attachment 3192924
Tanzania hakuna watu hata masikini kabisa wanaoishi hivi. Na hii ni Nairobi.Nchi gani ya mwalimu nyerere unayoisema? Ya hawa wananchi walioachwa wanaishi kwenye nyumba za tembe na wanavaa nguo za viraka? Wananchi walioachwa wanapanga foleni kununua vitu kama sabuni?
Umeenda Kenya if hivi karibuni na kuona wanavyo transform hayo maeneo yaliyojengwa hovyo kwa ajili ya hao wananchi wa kawaida?
Ona kinachofanyika Kenya alafu ujione mlivyo nyuma.View attachment 3192923View attachment 3192924
N kuna mambo huyajui. Unabonga tu.Nchi gani ya mwalimu nyerere unayoisema? Ya hawa wananchi walioachwa wanaishi kwenye nyumba za tembe na wanavaa nguo za viraka? Wananchi walioachwa wanapanga foleni kununua vitu kama sabuni?
Umeenda Kenya if hivi karibuni na kuona wanavyo transform hayo maeneo yaliyojengwa hovyo kwa ajili ya hao wananchi wa kawaida?
Ona kinachofanyika Kenya alafu ujione mlivyo nyuma.View attachment 3192923View attachment 3192924
Acha uzwazwa wewe! Wewe unaishi mpakani mimi Kenya naenda kila siku na nina biashara hukoN kuna mambo huyajui. Unabonga tu.
Mimi naishi mpakani na Kenya. Wakenya wengi wanakuja kupata matibabu Tanzania kwasababu ya gharama za Kenya.
Na siku hizi tuna Jakaya Kikwete Hospitatali ya moyo, wakenya na majirani wanajaa.
Hytuipendi CCM, ila tunaipenda nchi yetu na ukweli uko wazi, kuna mambo hata wakenya wanayatamani Tanzania.
Umewahi kwenda nje ya nchi??
Aunni mbwekaji tu.
Walikuwa wanaishi kwenye nyumba za tembe zilizojengwa wapi??
Hao wananchi hawakuwa wanamiliki ardhi na mashamba???
Sisi tulikula mahindi ya Yanga na kuvaa viraka mwaka 1975, na baada ya vita ya Kagera hivi unajua wakenya wengi mpaka sasa bado wanaandamana kwasasabu ya bei ya Unga???
Unajua leo mwaka 2025 bado kuna wakenya wananunua pumba wanasaga na kupika ugali??
Dar es Salaam ni kubwa mara mbili kuliko Niarobi, ila check hao wakenya wa Nairobi wa kawaida wanavyoishi. Watu Nairobi wanaishi mpaka nyumba za mabati.
View: https://youtu.be/iFcG7roY_dE
Tanzania hakuna watu hata masikini kabisa wanaoishi hivi. Na hii ni Nairobi.
Hapa sijataja Kibera amabayo ni maarufu.
View: https://youtu.be/Z5po3zN8PBE
Nimegundua nachat na zuzu.Umezunguka Tanzania nzima? Nenda hapo Manzese tu kwa mfuga mbwa ujionee
Vice versa is trueNimegundua nachat na zuzu.