Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

Nitafanya mambo matano muhimu.

1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za uhakika kwa Watanzania wengi sana.

2. Kuifanya Dar es Salaam kuwa Mji wa Biashara kweli na Dodoma Ofisi na Makazi ya Serikali tu. Kwenye hili kila kitu cha Kibiashara na maeneo makubwa mazuri ya starehe yatajengwa Dar.

Dodoma kutakuwa na Ofisi za Wizara, Ikulu, Bunge na Mahakama tu. Hakuna taasisi itakuwa na Ofisi Dodoma bali Ofisi za Taasisi zitagawanywa mikoa mbalimbali ikiwemo Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma, Lindi, Iringa, Kilimanjaro, Tanga na Njombe ili kuleta uwiano katika vichocheo vya maendeleo sehemu mbalimbali.

3. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kuelekea kusini, katikati na kaskazini mwa Afrika kupitia Bandari zake na reli. Hapa nitaweka miondombinu ya uhakika ya reli za umeme na barabara za uhakika kwenye njia zote za mipaka ya kuingia na kutoka Tanzania.

4. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Utalii na Uwekezaji Afrika. Kila kivutio cha utalii kinachopaswa kuwepo Tanzania kitawekwa.

Mwisho nitaivunja Wizara ya Ardhi na kuajiri vijana wapya ambao watafanya zoezi na kuipima na kuipanga nchi nzima.

Kabla ya yote haya nitaanza na Katiba Mpya.

Mungu nisaidie!
Zunguka Ccm yoote huwezi kukuta kiongozi wa mkoa mjinga kama huyu Ntobi wa Chadema, Mbowe anatuletea madudu kwenye chama.
 
Kuna vilaza wako huko miaka na miaka wanacho jua kula rushwa , kuvaa suti na kupanda v8 tu kwa miaka yote ya uhuru wa nchi hii.
mavi yaoo!!
 
😀 😀 Kasome TDV 2025 ambayo malengo yake makuu ni haya
  • Quality of life: Achieving a good life for all through social issues like education, health, and the environment
  • Good governance: Ensuring good governance and the rule of law
  • Strong economy: Building a resilient economy that can compete globally
Halafu angalia kinachofanyika na watawala hata katika kipengele cha good governance.
Kwa kifupi kaka kila mtu anaona au anaweza kupanga mambo mazuri lakini namna ya kuyaendea(approach) ndio ugumu ulipo.

Umejaribu kufanya au kutatua masuala ya kiuchumi na kijamii hapo ulipo, wewe unafanya harakati za siasa?

Haujatueleza hayo yote utayafanya vipi pia.

Kabla ya huko kote katika unalolifanya umetekeleza kwa ufanisi wa asilimia 80. Vinginevyo na wewe utakuwa Raisi lakini utazidiwa nguvu na wajinga. Na hii ndio changamoto kubwa Tanzania, watu smart wanazidiwa nguvu na wajinga mwishowe wanafata falsafa ya hovyo inaitwa if you cant fight them, join them😀
 
Tanzania ni zaidi ya maeneo hayo machache.
Kuna mikoa inazalisha sana bidhaa za kilimo hivyo ni lazima wahusike kwenye mgawanyo wa keki ya taifa.
Vinginevyo rais hawezi kuendesha nchi kwa mawazo yake pekee. Kuna washauri wa kila aina ambao baadhi yao ni lazima ukubaliane nao.
Vinginevyo utakuwa rais dikteta
 
Pesa ya kuendeshea hayo mambo Yote utaitolea wapi au utataifisha RASILIMALI ZA NCHI nijibu hapo ukijibu nitapata mwanga
Pesa sio lazima zote zitoke Serikalini. Kila siku humu Kafulila anahubiri kuhusu PPP. Miradi yote hiyo nitaifanya kwa mfumo huo.
 
Tanzania ni zaidi ya maeneo hayo machache.
Kuna mikoa inazalisha sana bidhaa za kilimo hivyo ni lazima wahusike kwenye mgawanyo wa keki ya taifa.
Vinginevyo rais hawezi kuendesha nchi kwa mawazo yake pekee. Kuna washauri wa kila aina ambao baadhi yao ni lazima ukubaliane nao.
Vinginevyo utakuwa rais dikteta
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote kwa hiyo kwa sasa hata hao mnaoita Washauri sijui Rais ni taasisi ni maneno ya kwenye kanga tu!

Hilo unalosema litawezekana only tukiwa na Katiba Mpya na ndo mana nimesema kipaumbele changu cha kwanza kabla ya kufanya hayo yote kitakuwa Katiba Mpya.
 
Kuna vilaza wako huko miaka na miaka wanacho jua kula rushwa , kuvaa suti na kupanda v8 tu kwa miaka yote ya uhuru wa nchi hii.
mavi yaoo!!
Asilimia 99.9 ya wana CCM wa sasa ndo wana mawazo ya namna hiyo si vijana si wazee.

Wanawaza wapate nafasi waendeshwe na gari zuri, wawe na nyumba nzuri, wapige hela na wajijenge kiuchumi wao binafsi tena kupitia nafasi hizi za kisiasa ambazo kiuhalisia hazipaswi kuchukuliwa kama ajira rasmi zaidi ya utumishi tu kwa umma
 
Duhh kumbe urais ni kuendeleza arusha na dsm baaaasi.
Ulivyo popoma kwenye mada yote umeona Arusha na Dsm tu? Hujaona hoja za kuifanya Tanzania kama nchi? Huelewi Tanzania kama nchi inahusisha mikoa yote?

Hujui pia kuwa maeneo haya waanzilishi wa nchi yako waliya designate kama maeneo ya kimkakati? Huelewi kwa nini Arusha iliitwa the Geneva of Africa?
Hujui ulitengwa kuwa mji wa kimkakati kwa Mashirika ya Kimataifa ili uwe kama Geneva?

Au umezaliwa 2010 ukapata akili nchi ilivyokuja kupata viongozi wa hovyo ambao walikuwa wanaendesha nchi kwa matakwa yao na chuki zao?

Una tatizo kubwa sana wewe!
 
Nitafanya mambo matano muhimu.

1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za uhakika kwa Watanzania wengi sana.

2. Kuifanya Dar es Salaam kuwa Mji wa Biashara kweli na Dodoma Ofisi na Makazi ya Serikali tu. Kwenye hili kila kitu cha Kibiashara na maeneo makubwa mazuri ya starehe yatajengwa Dar.

Dodoma kutakuwa na Ofisi za Wizara, Ikulu, Bunge na Mahakama tu. Hakuna taasisi itakuwa na Ofisi Dodoma bali Ofisi za Taasisi zitagawanywa mikoa mbalimbali ikiwemo Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma, Lindi, Iringa, Kilimanjaro, Tanga na Njombe ili kuleta uwiano katika vichocheo vya maendeleo sehemu mbalimbali.

3. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kuelekea kusini, katikati na kaskazini mwa Afrika kupitia Bandari zake na reli. Hapa nitaweka miondombinu ya uhakika ya reli za umeme na barabara za uhakika kwenye njia zote za mipaka ya kuingia na kutoka Tanzania.

4. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Utalii na Uwekezaji Afrika. Kila kivutio cha utalii kinachopaswa kuwepo Tanzania kitawekwa.

Mwisho nitaivunja Wizara ya Ardhi na kuajiri vijana wapya ambao watafanya zoezi na kuipima na kuipanga nchi nzima.

Kabla ya yote haya nitaanza na Katiba Mpya.

Mungu nisaidie!
Rais uko busy JF na unafantacise
 
anyway, kwenye uraisi wako bado sijaona kutoboa kwani umeishia kwenye mipango ile ile ya kuendeleza arusha, dar kama haww wa sasa hivi tu, lkn vp khs mkoa mzima wa mbeya na eneo lote la nyanda za juu kusini mpaka songea? vp khs mtwara, lindi na kusini yote? vp khs tanga na bandari yake? vp khs rift valley the most fertile region in afrika inapita manyara mpaka kusini, vp khs kagera, musoma na mara kwa ujumla? vp khs visiwa vyetu kama mafia ungekuwa na mipango gani navyo? nasikitika kusema uraisi wako usingekuwa tofauti sana na awamu ya 4 …
 
Hujaona kuhusu Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji na nikagusia Bandari zote hapo?

Kuhusu visiwa navyo vitaguswa kwa impact itakayopatikana kwenye maeneo mengine.

Zaidi kwenye visiwa vyote nita attract uwekezaji mkubwa kama inavyofanyika Zanzibar chini ya Mwinyi.
 
Nitafanya mambo matano muhimu.

1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za uhakika kwa Watanzania wengi sana.

2. Kuifanya Dar es Salaam kuwa Mji wa Biashara kweli na Dodoma Ofisi na Makazi ya Serikali tu. Kwenye hili kila kitu cha Kibiashara na maeneo makubwa mazuri ya starehe yatajengwa Dar.

Dodoma kutakuwa na Ofisi za Wizara, Ikulu, Bunge na Mahakama tu. Hakuna taasisi itakuwa na Ofisi Dodoma bali Ofisi za Taasisi zitagawanywa mikoa mbalimbali ikiwemo Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma, Lindi, Iringa, Kilimanjaro, Tanga na Njombe ili kuleta uwiano katika vichocheo vya maendeleo sehemu mbalimbali.

3. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kuelekea kusini, katikati na kaskazini mwa Afrika kupitia Bandari zake na reli. Hapa nitaweka miondombinu ya uhakika ya reli za umeme na barabara za uhakika kwenye njia zote za mipaka ya kuingia na kutoka Tanzania.

4. Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Utalii na Uwekezaji Afrika. Kila kivutio cha utalii kinachopaswa kuwepo Tanzania kitawekwa.

Mwisho nitaivunja Wizara ya Ardhi na kuajiri vijana wapya ambao watafanya zoezi na kuipima na kuipanga nchi nzima.

Kabla ya yote haya nitaanza na Katiba Mpya.

Mungu nisaidie!
Kama ww ni muoga na hata umeshndwa kuandika jina lako halis hapa unadhan utaweza?
 
Hatukupi, hakuna sehemu uliyosema utawasaidia vipi wananchi wawe na kipato kizuri na uwakika wa kupata chakula na huduma nzuri za afya, ili upate nguvu kazi za kufanya hayo yote kwa kuwatumia hao wananchi???
Huyo anatafuta nafasi ya kuzunguka na misafara kama chief Godlove
 
Back
Top Bottom