Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Uzoefu naonesha nchi zinachaguaga maeneo machache ili kujenga uchumi wa maeneo mengine.Itakuaje kila rais akataka kuendeleza hiyo mikoa tu
Jaribuni kufikiria na vijijini kupaendeleza .
Ile Sera ya umeme wa elfu 27 ilikuwa nzuri Sana .
DSM inahitaji kurekebisha na kujengwa barabara za kupita juu na chini, kupunguza msongamono .
Ila ukiwa rais hakikisha mnaboresha na vijijini pia na sio DSM pekee.
Unadhani Falme za Kiarabu hakuna sehemu nyingine zaidi ya Dubai? Unadhani Marekani hakuna maeneo mengine zaidi ya New York na Los Angeles California?
Maeneo hayo yatatumika kama chachu ya maendeleo katika maeneo mengine.