JESHI, TISS, Polisi, TAKUKURU, TRA, Mamlaka ya Chakula na Dawa, EURA, CAG, nk..
Mamlaka ni nyingi.
Kuna wakati zinapeleka ushauri kwa rais ambaye anapaswa kutekeleza baada ya mashauriano na watalaam wengine kwa manufaa ya nchi.
Wewe kama utafanikiwa kuwashawishi watanzania na hivyo kutwaa madaraka utakuwa rais wa ovyo sana.