Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

Kama anatokea maeneo ya Sombetini huyo demu achana nae haraka sana.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mnunulie smart phone nzuri sio Tekno/itel nk muwekee na bando la mwezi hata GB 20+ na dakika na SMS za kutosha utachati naye hadi utachoka mwenyewe.
Sasa unataka uchat naye kwa simu aliyonunua nani?
Jiongeze kijana..))
 
Yaani Kaka simu pia nikishamwambia nimnunulie lakini kama hataki hivii huwa namnunulia Zawadi kibao kumpa lakini demu haonyeshi shauku ya kuja kuchukua.Sometime nahisi labda sijui umri.
Mute kama mwezi.hivi uone...usimtetemekee..pia ni age pia huenda
 
Daah ipo kwa wengi ila mm nahisi may be huyo dada bado hajakupenda vizuri labda kama angekuoenda lazima angekuwa anafight kutafuta simu kukutafuta mda wote arafu mdawingine utoto bado
 
Daah ndo hivyo kaka

Kama anatokea maeneo ya sombetini huyo demu achana nae haraka sana.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hapana ni daraja mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…