Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

Sawa kaka
Mute kama mwezi.hivi uone...usimtetemekee..pia ni age pia huenda
Mnunulie smart phone nzuri sio Tekno/itel nk muwekee na bando la mwezi hata GB 20+ na dakika na SMS za kutosha utachati naye hadi utachoka mwenyewe.
Sasa unataka uchat naye kwa simu aliyonunua nani?
Jiongeze kijana..))
Daah Kaka najitahidi Sana inshu kama hizo sema demu hanipi ushirikiano kabisa Kwa kiasi kikubwa
 
Daah ndo hivyo kaka



Hapana ni daraja mbili
Sawa mkuu.. ila ulipata wapi ujasiri wa kutongoza demu wa daraja mbili mkuu, siwakandii mademu wa huko ila daraja mbili hakuna demu serious, kama unataka demu wa kuoa tafuta mtaa mwingine.

Ila usiende sombetini, sokoni one, matejoo, ngarenaro, kwa mrombo, ungalimited na mitaa inayo fanana na hiyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Dah Kaka ntashukuru sana Kwa ushauri wako japo naumia Sana Moto wangu
Sawa kakq
 
Sawa, sasa nisikilize vizuri:
1. Huenda ni kweli huyo dada hana simu na anaazima azima tu
2. Huenda huyo dada ni binti mdogo sana kiasi hajui anafanya nini
3. Huenda kuna kitu anakuficha
4. Huenda hakutaki

Sasa kama kweli unampenda fanya utafiti ujue wazazi wake au walezi wake na uende kupeleka posa na utaona mabadiliko.

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Tha
Thanks you
 
Thanks
 
Thanks
Age mate una 30 bado hujui mtu sahihi na asie sahihi mmh ulikuwa jela kifungo kirefu au ulikuwa shemasi anyway saiv kwa umri wako hauitakiwi mwanamke mwenye drama nyingi umri wako si wa lovestory tena
Katakusumbuwa
 
Yaani Kaka simu pia nikishamwambia nimnunulie lakini kama hataki hivii huwa namnunulia Zawadi kibao kumpa lakini demu haonyeshi shauku ya kuja kuchukua.Sometime nahisi labda sijui umri.
Huyo ni kichomi achana nae,nilishakuwa kwenye mahusiano na single mama mmoja nae alikua na pigo hizo,unamnunulia zawadi lakini haonyeshi kufurahia mpaka siku moja nikamuuliza hivi upo sawa kweli,jibu lake nipo sawa,kwa ushauri wangu achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…