Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

njia nyepesi na fupi MNUNULIE SIMUUU.
 
Yaani Kaka simu pia nikishamwambia nimnunulie lakini kama hataki hivii huwa namnunulia Zawadi kibao kumpa lakini demu haonyeshi shauku ya kuja kuchukua. Sometime nahisi labda sijui umri.
Hiyo hela ya kumnunulia huyo manzi simu mpe mama yako anunulie hata kakitenge apendeze mkuu upate baraka za mzazi, huyo demu piga chini ni kichomi sana anza upya mkuu mwache aende utakuja kuteseka sana mchuga mwezangu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine bhana,,, si umnunulie simu🙄🙄
 
Hapo kuna mawili bado ni fulish age au wew ndo tatizo ..... iko ivi mwanaume u atakiwa uonyeshe direction , principle namna unataka awe siyo swala la kusema tu nakupenda na yeye anakupend , huyo dada hujajua upande wa pili ya shilingi na wew hujajua kujiongeza
 
Daah Kaka labda ufafanue kidogo
 
Kama mwanaume unatakiwa uangalie maisha yako kiuchumi, kuwa bize na mambo yako kiuchumi. Jaribu kuwa bize na kujipa furaha na utengeneze mazingira yako ya uzee na suala la mahusiano lipe 30%.
Usimbembeleze mwanamke, kumuonesha unampenda au kumjali. Mtongoze mwanamke akizingua, wala usimfuatilie piga chini, akija mpige chini. Katika maisha yako ya utafutaji wa ridhiki, atakuja kutokea mwanamke atakupenda na kukujali ila usimuoneshe unampenda wala upo bize naye.
Kingine mwanamke unayetakiwa kuingia naye kwenye mahusiano ni kuanzia miaka 25 na kuendelea hapo kidogo anakuwa amepevuka kiakili. Chini ya miaka 25, bado ana machaguo mengi sana ya wanaume na utoto mwingi.
Uwe na mtazamo wa kuwa unahitaji mwanamke wa kupata naye watoto tu na siyo kwa ajili ya mapenzi. Utaishi vizuri sana.
 
Acha ujinga tafuta pesa
 
Lazimisha likukute jambo
 
Tafuta hela wanawake wengi watakufata hadi utawakimbia huyo unamngania nini embu fikilia mtu diamond, hamornize au fred vunja ni mwanamke gani akimtaka atamkataa shida yako unatumia nguvu kutafuta mtu sahihi wakati hizo nguvu zibadilishe kutafuya hela utakuja kupata watu sahihii
 
Kwanza din ni kisanga pili kwa maoni yangu huyo sim anayo vzr tu hujawah kujiuliza whatsp account ya dada yake anawekaje picha za kwake tu kama ulivyosema kuwa ulimpgia akapokea dada yake hio hata sio sabab ya kuamin hana cm me mtu anaweza kupga nkampatia mtu aliyeko karb ili amwambie kama ulivyoambiwa wewe usifkrie kwamba ukimuacha huyo hutapata mwingne wa kumpenda kama huyo mapenzi yanajengwa sio constant fanya uamzi kulingana na umri wako ingawa sijafkia huo umri but angalia penye kutumia akili usiweke hisia kuna kuvumilia na kupoteza muda kwenye uvumilivu lakn mwisho wa ushauri wote kuna maamzi yako binafsi #KILA_LAKHERI
 
Vibinti vya miaka chini 25 visumbufu sana,na hii ni kwa sababu vinatongozwa sana kwa hiyo wanahisi soko Lao liko juu,pia hata kiakiri vinakua havijapevuka na kua na utulivu na maamuzi,tafuta binti kuanzia 25 hao wanajitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…