Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

ana tako kubwa?
 
Mnapatikana wapi nyie wenye mapendo ya kutosha mpk mnapungukiwa kuona mbele?

Mtoa mada emu njoo hapa Uhasibu tumtafute huyo mtoto. Atuambie chanzo cha dharau zake.
 

Unataka uambiwe kwa lugha gani kuwa hakutaki?
30 yrs of age halaf unapelekwa puta na mtoto mwenye 20s?
Tafuta grown ups ladies ambao wanaelewa
 
Yaani Kaka simu pia nikishamwambia nimnunulie lakini kama hataki hivii huwa namnunulia Zawadi kibao kumpa lakini demu haonyeshi shauku ya kuja kuchukua. Sometime nahisi labda sijui umri.

Anaogopa kuchezewa ye c malaika mpk awe na uhakika kua utamuoa.na kwa maelezo yako huyo bint yuko poa ingekua mapepe angekua anakuchuna ila kama hata ela hakuombi unampa ww tuh kwa kutaka bhc inaonesha anaogopa hata zawadi zako maana anajua una lengo la kumla kisha kupita vile....
Afu hio tabia wadada wenye bk ndio wanaZo (uoga)
 

Tuanzie kwako, wewe kama wewe unatakaje? sana sana haya mambo sio ya kuomba ushawishi nje ya nafsi yako. Halafu at 30's umekutana na wanawake wenye tabia nyingi sana, ambao wana nyashh, ambao hawana, enhhh(mtoto wa miaka 20 ndo anakusumbua kweli, kungekuwa na room private kwa wanaume huku tungekuweka kikao mkuu).
Mbona tulishakubaliana, uwe unahudhuria vikao.
 
Miezi minne tu umechezewa akili unataka kuoa kabisa.
Umempenda au unasukumwa na upofu wa kupenda.
 
Imani mbili tofaut Huwa ni uongo shida utaiona mkishazoeana kwenye ndoa.
Huwezi ukaunganisha itikadi mbili zisizochangamana
 
Kwa umri huo mkuu tafuta Demu matured,hivyo vibinti vya generation hii vitakuua na kisukari cha mapema.
 
Kudate na pisi za Ar uwe na kifua. Hawakoleagi viungo kirahisi.
 
Wanaume mnatesekaa na mapenzii

Mzee wa 30 yrs kitoto cha afu2 kinasumbua bongo hiyooo
 
Naunga mkono hii comment bikra wanatabia kama hizo mimi nishahidi mwenyewe kabsaa
 

Hii akili ndo unavukia nayo barabara au uko na nyingine
 

Nikiwa km mwanamke hiyo maana yake unatakiwa umnunulie simu na sio kumtafuta kwenye simu ya ndugu yake.Hilo ni jaribio la kwanza analokupa ila ww unajitoa ufahamu.Km huwezi kununua simu mahari ndo utaweza kutoa bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli mkuu ni kwamba ANA MWANAUME MWINGINE ANAEMPENDA ZAIDI YAKO.ILA JAMAA HAMPENDI HATA UKIOA ATAENDELEA LIWA KISERA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…