Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

Mimi nina mpenzi wangu sijui amepanga wapi na wala yeye hajui mimi nimepanga wapi.nina chojua anakaa magomeni na anachojua nina kaa bagamoyo.
Na tupo tangu 2019 mpaka leo.
Kukutana Lodge tukimaliza kila mtu na shughuli zake.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ameona msimamo wako hauna MSIMAMO
 
Baada ya hapo kama nilivyosema, nilikuwa namuhudumia na kila wiki nilikuwa nampa nauli na hela ya kutumia akiwa kazini

Mbona kama umefanywa kuwa baba mzazi?
 
bado unampenda.

anapenda ulichonacho.


mkuu hata kama umezaliwa dzm ukitumia mie badala ya mimi wana jf watakuona jamaa flani laini laini .

OVA
 
Najitakia usiku mwema...[emoji3590]
Na kwangu pia ..[emoji3590]

I love me [emoji3590]
Ilove me too[emoji3590]

Me nalala..
Mbona nalala mapema..?
Ndio ..nalala mapema maana simu haina chaji na umeme hamna.

Ok sawa kesho hiyo..
Ok pw pw.
You made my day bro🤣🤣🤣
 
Mwenye mke akigundua unawasiliana na Mke wake jiandae kupigwa
 
Ukiona mwanamke ana kuwekea vikwanzo vya kimahusiano fahamu kabisa hapo hauna chako , hatakama atakua ana kung'ang'ania na kujibebisha tambua ana kuchora na kukuona boya. Move on kuwa bahili jipende , mpende baba yako na mama yako wapende sana na uwatunze. Ipo siku atakuja tuu atakaye kupenda

Amini ninacho kuambia
 
Jamaa kasema hamuachi yule mwananmke ataendelea nae kimfumo tofauti. Jamaa ni mtu wa viwanja na kuopoa mirupo ya one night kwake kawaida so anadai mwanamke wake ataendela kuwa naye lakini atamuweka kundi la wale mademu anaokutana nao club anapiga mzigo tofauti ni kuwa huyu atakuwa anapata kila anapomuhitaji bila malipo.

Anasema anampa muda atakapoamua atulie kwa kuona alikokuwa anatumainia hana soko basi nae ndio atamtema hapo sasa.
 
Sasa unamuachaje mwenzio Kwa nakosa madogo Kama hayo mwambie msimamo wako labda atabadili mazamo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…