Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

M kukaaa kimya loh HUYO anakuwekea na sumuu na sikuhizi KUNA sumu za miezi 3..6..9..YAAN anachagua semester tyu unaishia nayoo
 
Kaa kwa tahadhari, kuna siku utaamka ukute umebanikwa kama ndafu
 
Pole sana mkuu.
1. Ndoa siyo kwa ajili yako ni kwa ajili ya watoto: Dizasta vina

2. Ndoa ni maigizo yasiyo na hela: Dizasta vina

3. Ndoa siyo akiba ni sanaa: Dizasta vina
Nje ya Mada. Dizasta vina anajua sana sijui kwq nini nchi inashindwa kumtambua kama namba one MC nchini
 
Nje ya Mada. Dizasta vina anajua sana sijui kwq nini nchi inashindwa kumtambua kama namba one MC nchini
Nadhani ni ngumu kwa nchi kumtambua Dizasta vina kama mc namba moja, lakini kadiri kunapokucha watu wa hip hop wanaendelea kuuimba ubora wake, kwahiyo bila shaka muda ukifika anaweza kufika hapo.
 
Mi nakushauri mpeane space kwa muda na wewe kama ndo mwenye makosa jitahidi kurekebisha.
Sisi wanawake tukifika mwisho tumefika.
 
Mtafute mgoni wako taratibu utamkamata tu ,
ila Kuna mtu anakupigia mkeo,

Mwanamke akisusa kukupa penzi ujuwe Kuna sehem analiwa..

Kuna mke wa mtu ana ugomvi na mumewe ,,yaani kesi kama yako .Mimi ndy namsaidia kumliwaza Kwa Sasa...

Mume ana miezi 6 hapewi chochote..
 
Hujambo,pole kwa hiyo hali,njoo inbox nikusaidie mbinu
 
Wakati mshua anamuacha bi mkubwa nikiwa darasa la pili nilimuonaga miyeyusho sana,lakini tulikua japo kwa meno na zile nyakati ziliimarisha akili yangu sasa nimekua mtu mzima naelewa nini hasa kilimsukuma kupiga chini.

Mkuu usilazimishe mapenzi hata siku moja mwanamke akikuchoka huna cha kufanya kubadili kitu.
 
1. nina mtoto mmoja
2. watoto wataanza pata tabu!
Kisa cha kununiana na mkeo ni tabia yako ya uongo, yaani muongo muongo tu na uongo wako hujirudiarudia.
Labda ana mpango wa kuongeza watoto wengine wakiwa wamenuniana hivyo hivyo
 
Sio kweli.

Tumeona bad boys wengi tu wakisalitiwa

Na tumeona Ndoa nyingi za bad boys zikisalitiwa

Utofauti ni kua they don't give a https://jamii.app/JFUserGuide wether you stay or go, Hivyo hawapati maumivu kama bice guys.

Lkn hisia za mwanamke haziangalii kua wewe ni bad boy or nice boy once ame meet a guy that has value more than urs any thing can happen
 
Ndoa yoyote yenye shida asilimia kubwa ni mwanaume kashindwa ku apply uanaume wake, eti nishaurini??? Take affirmative action, miezi 7??
 
Miezi saba anabanduliwa na nani?? Shtuka kijana vinginevyo utaingia kwenye majuto zaidi ya uliyonayo ss, na bora nusu hasara kuliko hasara kamili
 
Usichokijua kuwa wanawake wanapenda bad boy na play boy. Sasa wewe kuwa mpole na ulete mapenzi ya tamthilia za kifilipino. Utachakaa
Nyie ndiyo wale, mnaowasomesha wapenzi au wake zenu mkiamini watawapenda sana
 
Achaneni tu, si umejitakia mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…