Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kwa tahadhari, kuna siku utaamka ukute umebanikwa kama ndafuNimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto.
Mwenzenu nimekwama. Naomba ushauri
Nje ya Mada. Dizasta vina anajua sana sijui kwq nini nchi inashindwa kumtambua kama namba one MC nchiniPole sana mkuu.
1. Ndoa siyo kwa ajili yako ni kwa ajili ya watoto: Dizasta vina
2. Ndoa ni maigizo yasiyo na hela: Dizasta vina
3. Ndoa siyo akiba ni sanaa: Dizasta vina
....siyo watoto ni mtoto....watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto...
Nadhani ni ngumu kwa nchi kumtambua Dizasta vina kama mc namba moja, lakini kadiri kunapokucha watu wa hip hop wanaendelea kuuimba ubora wake, kwahiyo bila shaka muda ukifika anaweza kufika hapo.Nje ya Mada. Dizasta vina anajua sana sijui kwq nini nchi inashindwa kumtambua kama namba one MC nchini
Mtafute mgoni wako taratibu utamkamata tu ,Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto.
Mwenzenu nimekwama. Naomba ushauri
Hujambo,pole kwa hiyo hali,njoo inbox nikusaidie mbinuNimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto.
Mwenzenu nimekwama. Naomba ushauri
Labda ana mpango wa kuongeza watoto wengine wakiwa wamenuniana hivyo hivyo1. nina mtoto mmoja
2. watoto wataanza pata tabu!
Kisa cha kununiana na mkeo ni tabia yako ya uongo, yaani muongo muongo tu na uongo wako hujirudiarudia.
Sio kweli.Jichanganye kuwa mr. nice guy kwa mwanamke haijalishi ni mkeo au upo kwenye dating. Utachakaa
Ndoa au mahusiano mengi ya bad boys na play boy hudumu zaidi kuliko za manice guy.
Nakuhurumia sana kijana, kwa kudanganyika na tamthilia za kifilipino ndiyo ulete kwa mwanamke
Nyuzi nyingi humu walioumizwa na mapenzi ni wale wenye mapenzi ya dhati
Usichokijua kuwa wanawake wanapenda bad boy na play boy. Sasa wewe kuwa mpole na ulete mapenzi ya tamthilia za kifilipino. UtachakaaSio kweli.
Tumeona bad boys wengi tu wakisalitiwa
Na tumeona Ndoa nyingi za bad boys zikisalitiwa
Utofauti ni kua they don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala wether you stay or go, Hivyo hawapati maumivu kama bice guys.
Lkn hisia za mwanamke haziangalii kua wewe ni bad boy or nice boy once ame meet a guy that has value more than urs any thing can happen
Achaneni tu, si umejitakia mwenyewe?Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.